Huu hapa umri sahihi wa Shilole

Nakumbuka nikiwa nasoma kidato cha kwanza pale Igunga day (2001) Makala na Mkewe Shilole walikuwa wapangaji wetu. Mie nikiwa mtoto mdogo na Shilole akiwa pale kwetu nilikuwa namuona si rika langu kabsa.
Sasa miaka 36 na 31 sio rika moja kivipi?
 
Maelezo mareeefu kisa tu umri wa mtu sasa akiwa mbibi au kikongwe mimi na wewe vinatuhusu nini?? mumewe si anaujua umri wa mkewe shida iko wapi.

Don forget Age is just a number. lol.
 
Hapana,huyu binti unasemekana alipewa mimba akiwa kidato cha pili Igunga sec,au hakusoma hapo Igunga Sec?
 
Mi nimemla sana huyo hadi akaniganda!ni kiajuza flani hivi maana mapaja yashakuwa lepelepe
 
Yaani mdau kutaja tu umri wa Shilole unamfukunyua kiasi hicho?!. ..........kapanga kwetu.......... kauza ndizi stendi........... mume wake........
Ni nini kimekuuma sana kwenye umri sahihi wa Shilole?
Nikufahamishe kitu. Dunia nzima inajua kwamba mwanamke akikutajia umri wake hutakiwi kumbishia, unaukubali huo umri na kukaa kimyaa.
Umri aliokutajia Shilole ndio umri wake.Fukunyua fukunyua ya nini?Kaa kimya!
 
Maelezo mareeefu kisa tu umri wa mtu sasa akiwa mbibi au kikongwe mimi na wewe vinatuhusu nini?? mumewe si anaujua umri wa mkewe shida iko wapi.

Don forget Age is just a number. lol.
Kwa nn sasa usiseme ukweli we sema tu kwamba mimi nina miaka kadhaa. Vp we dada angu shilole!?
 
Yaani mdau kutaja tu umri wa Shilole unamfukunyua kiasi hicho?!. ..........kapanga kwetu.......... kauza ndizi stendi........... mume wake........
Ni nini kimekuuma sana kwenye umri sahihi wa Shilole?
Nikufahamishe kitu. Dunia nzima inajua kwamba mwanamke akikutajia umri wake hutakiwi kumbishia, unaukubali huo umri na kukaa kimyaa.
Umri aliokutajia Shilole ndio umri wake.Fukunyua fukunyua ya nini?Kaa kimya!
Sio wote sema wewe!
 
SASA HUO NI USHILAWADU,
watu wa DAR bana huwa hamnaga KAZI za kufanya
 
Leo katika pitapita zangu nikaona nijaribu kueleza kidogo juu ya umri wa dada yangu wa Igunga Zuwena au maarufu kama Shilole.

Nimemkumbuka kwa mambo mawili; Mosi kama mtu ambaye aliwahi kuwa mpangajj wetu pale Igunga akiwa ameolewa mwaka 2000 na 2001. Lakini pili, namna ambavyo imekuwa ni vigumu kwake kusema ukweli juu ya umri wake halisi. Haya mambo mawili ndo yananifanya nimkumbuke.

Bila shaka wale wenyeji wa igunga mjini tutakuwa tunamkumbuka huyu binti si kwa umaarufu wa sasa bali umaarufu wa mme wake wa zaman ambae ni mzazi mwenzie pale Igunga bw. Makala.

Nakumbuka nikiwa nasoma kidato cha kwanza pale Igunga day (2001) Makala na Mkewe Shilole walikuwa wapangaji wetu. Mie nikiwa mtoto mdogo na Shilole akiwa pale kwetu nilikuwa namuona si rika langu kabsa.
Wakati anafanya biashara ya ndizi pale stand tulikuwa na tabia ya kuingia chumbani kwake na kuiba ndizi zake. Na siku moja alitupa Kiminyo baada ya kuona mzigo alioleta umepungua (nifupishe).

Leo hii mimi nmekuwa mtu mzima (miaka 31) lkn pia nikimuangalia mme wake (Makala) nae tayari umri umeenda sana (makadirio ni miaka 38-39).

Pamoja na kwamba shilole hasemi umri wake sahihi na imekuwa ni mtihani mkubwa sana kwake hasa pale anapoulizwa historia yake, basi naweza kusema kwamba Shilole ni Mama wa Makamo. Ni Rika moja na dada angu aliyezaliwa 1981 na wamesoma darasa moja.
Hivyo basi makadirio ya chini ya umri wa shilole ni Miaka 36.

Lakini nampongeza kwa mfanikio aliyonayo mpk sasa lkn nimshauri tu asiteseke kuficha umri, hii itamsaidia pia kuwa huru zaidi.
Asanteni

kingunge wa JF
Sasa wewe bora uandike jina lako kabisa maana huo utangulizi uloweka ni rahisi sana Shishi akipita hapa akutambue vizuri.
 
Back
Top Bottom