DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,908
- 18,407
Hahaha nishakunywa mkuu..Nimeandika jina lako kwa Mangi hapaNenda dukani agiza Pepsi ya baridi nakuja kulipia
Umetufurahisha WallahWengi wanamfananisha Selemani na Mtoto lddi,...Mnakosea sana Selemani ni Mjukuu wa lddi...
Historia kamili hii hapa,
Miaka ya themanini Kalubandika wa bendi ya Orchestra Maquis Original,
Aliingia katika mahusiano na binti mmoja hivi jina limenitoka,baada ya kumpa ujauzito huyu binti Kalubandika aliukataa.
Bahati nzuri yule binti alipata mchumba na kuolewa hivyo hivyo na ujauzito wake,
Mwanaume aliyemuoa huyu binti anaitwa Hamidu,
Mtoto alipozaliwa wakampa jina la lddi, katika wimbo wa Mtoto lddi Nature anasema, Iddi ni mtoto wa kwanza wa mzee Hamidu,
Lakini ukweli Hamidu ni baba mlezi wa lddi,
Baba halisi wa ldi ni Kalubandika, na ndiyo maana Iddi alikuwa na tabia za Kalubandika,
Maisha yalikwenda kasi sana, Iddi wa Juma Nature baada ya kukua, alimuoa kitemi mtoto wa Mama Kumbena wa Banana
Zorro,
Wakazaa watoto watatu wote wa Kiume,
Wa kwanza ni Side Mnyamwezi wa Mh Temba,
Wa pili ni Lover boy wa Chege
Wa tatu ni Yahaya wa Lady Jyadee
Katika hawa watoto watatu wa Mtoto lddi wa Juma Nature, Ndipo kupitia mtoto wake Lover boy,
Ndo kunapatikana kizazi cha Selemani wa Mboso,
Selemani ni mtoto wa Lover boy wa chege
Kwahiyo watu kumfananisha Selemani na Mtoto ldi,
Ni kumkosea adabu mtoto Idi, huyu ni mjukuu wake
anachokifanya sasa yeye alishakifanya miaka hiyo,
Nadhani nimeshamaliza utata
😂😂😂😂😂Kalubandika ni mtoto wa Mzee wa Busara
Mkuu mpe credit aliyeandika hii kitu. Unacopy paste tu dah. Plagiarism at its best.Wengi wanamfananisha Selemani na Mtoto lddi,...Mnakosea sana....
Historia kamili hii hapa,
Miaka ya themanini Kalubandika wa bendi ya Orchestra Maquis Original,
Aliingia katika mahusiano na binti mmoja hivi jina limenitoka,baada ya kumpa ujauzito huyu binti, Kalubandika aliukataa.
Bahati nzuri yule binti alipata mchumba na kuolewa hivyo hivyo na ujauzito wake,
Mwanaume aliyemuoa huyu binti anaitwa Hamidu,
Mtoto alipozaliwa wakampa jina la lddi, katika wimbo wa Mtoto lddi Nature anasema, Iddi ni mtoto wa kwanza wa mzee Hamidu,
Lakini ukweli Hamidu ni baba mlezi wa lddi,
Baba halisi wa ldi ni Kalubandika, na ndiyo maana Iddi alikuwa na tabia za Kalubandika,
Maisha yalikwenda kasi sana, Iddi wa Juma Nature baada ya kukua, alimuoa kitemi mtoto wa Mama Kumbena wa Banana
Zorro,(Kama mnamkumbuka yule we mama kumbena)
Wakazaa watoto watatu wote wa Kiume,
Wa kwanza ni Side Mnyamwezi wa Mh Temba,
Wa pili ni Lover boy wa Chege
Wa tatu ni Yahaya wa Lady Jyadee
Katika hawa watoto watatu wa Mtoto lddi wa Juma Nature, Ndipo kupitia mtoto wake Lover boy ndo tunapompata selemani..
Sasa hapo kunapatikana kizazi cha Selemani wa Mboso,
Selemani ni mtoto wa Lover boy wa chege
Kwahiyo watu kumfananisha Selemani na Mtoto ldi,
Ni kumkosea adabu mtoto Idi, huyu ni mjukuu wake
anachokifanya sasa yeye alishakifanya miaka hiyo,
Nadhani nimeshamaliza utata
Kumbe ndio sababu ya beef lao?Yahaya ni naibu waziri, kweli usimdharau mtu anayepumua
Naibu alitoaga boko, nadhan nafsi ilimsuta ikabidi awe mpole alimkosea sana komandoKumbe ndio sababu ya beef lao?
Naibu alishindwa kuja na hit kujibu mapigo?
Hapana ni Binamu yake alikuwa mtoto wa Afro Mzee wa Sagana kama unamkumbuka Mzee tupa tupa wa JUWATA Jazz band Ndo baba Yake na KalubandikaKalubandika ni mtoto wa Mzee wa Busara
Ila komando anaonekana ni jike shupa kweli kweli. Beef na jasiri muongoza njia wa mawingu halikuisha mpaka jasiri akakata moto. Lile na kukoboa nadhani bado linaishi.Naibu alitoaga boko, nadhan nafsi ilimsuta ikabidi awe mpole alimkosea sana komando
Mkuu sean Paul!Mkuu mpe credit aliyeandika hii kitu. Unacopy paste tu dah. Plagiarism at its best.
Najua ulipoitoa.
Nilitaka nimpe pongezi kumbe ye mwenyewe kaiiba 😀,, by the way umetufurahisha sio kila siku dp word, mara sijui treni ya mwendo kasi,Mkuu mpe credit aliyeandika hii kitu. Unacopy paste tu dah. Plagiarism at its best.
Najua ulipoitoa.
HUko anakosema imeandikwa amejuaje kama sio mimi nimeiandika?Nilitaka nimpe pongezi kumbe ye mwenyewe kaiiba 😀,, by the way umetufurahisha sio kila siku dp word, mara sijui treni ya mwendo kasi,
Komando ni mtu wa mara chief unategemea nini apo vita ni vita muraIla komando anaonekana ni jike shupa kweli kweli. Beef na jasiri muongoza njia wa mawingu halikuisha mpaka jasiri akakata moto. Lile na kukoboa nadhani bado linaishi.
Kwenye page zake huwa anawajibu wakosoaji wake kwa ukali sana.
Yahaya ni mwananchi tu wa kawaida anaishi KinondoniYahaya ni naibu waziri, kweli usimdharau mtu anayepumua