Huu hapa ujanja wa kupata ajira serikalini kwa wasio na connection

Huu hapa ujanja wa kupata ajira serikalini kwa wasio na connection

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
Kama una bachelor degree na bado huja upload vyeti vyako ajira portal

Basi tafuta chuo cha kati weka cheti chako cha NTA level 5

Hakika utaitwa sana interview ila kama utaweka bachelor degree basi utalia na kusaga meno

Serikali haina Hela ko inaajili watu wanaolipwa kidogo ahsante
 
Udereva pia ndo rahisi kupenya hasa kwenye Taasisi kubwa
 
Huu ni uongo
We bado unasota mtaani mi nina miaka 11 kazini taasis kubwa inayoheshimika Tanzania nimeona watu kibao waliongia kama
Madereva then wakajiendeleza wamefanyiwa recategorisation siyo madereva tena.
 
We bado unasota mtaani mi nina miaka 11 kazini taasis kubwa inayoheshimika Tanzania nimeona watu kibao waliongia kama
Madereva then wakajiendeleza wamefanyiwa recategorisation siyo madereva tena.
Mkuu unaonekana una experience juu ya hili, Nina swali kama mtu una shahada ni njia nzuri kusoma NTA level 5 alafu ndio uweke ajira portal kwa ajili ya kuomba ajira alafu baada ya hapo unafanya recategorisation,

Je ni sahihi kwasababu kwa sasa bachelor degree ajira ni chache sana au wewe una neno Gani juu ya hili mkuiu
 
Vyema sana

Hii ni kweli kabisa, japo wengi wanapuuza elimu za NTA level 5 au veta lakini ni kigezo kizuri sana kuingia serikalini, bachelor itafuata badae kwenye kubadilishwa kada....
 
Back
Top Bottom