URBAN MONKEY
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 736
- 1,374
umenena mkuu maana we ufanye kazi kwa jasho kumbe akiba yako kuna mijitu inajibebea tu inakera kwakweliMimi ninakuwa nawaza tu kwa ujinga wangu. Kwa nini pasiwe na sheria inayompa mtu uhuru wa kuchagua either, awekewe pesa kwenye mifuko hii ya walaji(ya kijamii) au ujiwekee mwenyewe kwenye kibubu chako