Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kilimasera, Jan 26, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mchagga alinunua mbuzi! Akamwambia mpishi; Nyama nusu ipikie pilau na
  nyingine itie kwenye friza! Kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi
  chukuchuku! Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na
  mifupa tutawauzia wenye mbwa! Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani
  Mpishi akamuuliza : Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye
  simu yako?
   
 2. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  he heehheeehhhee!!!! budjet hizo..
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwa watani wetu wachaga AKA wazee wa bajeti
   
Loading...