"Na sauti ifanye ringtone..." | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Na sauti ifanye ringtone..."

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Vodka, Mar 15, 2012.

 1. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Siku moja mchaga alikwenda soko la mbuzi,vingunguti na kununua mbuzi. Kabla ya kumchinja mbuzi yule kabla ya kitoweo,akamuachia maagizo mchinjaji na mpishi;
  "Ukisha mchija kwanya damu tengeneza kisurio,Nyama nusu ipikie pilau na nyingine itie kwenye jokofu,kichwa kichemshe tupate supu na miguu miguu tengeneza mchuzi chukuchuku.Ngozi usiitupe tutafanya msala kwani Tarimo anaitaka kununua ili kutowa posa si unajua anataka kuoa huko Tanga..Utumbo usafishe na utunze kwa ajili ya kupikia ndizi jioni na mifupa itakayo patikana pia.Na hakikisha baada ya kula mifupa tutawauzia wenye mbwa,kinyesi kihifadhi kwani tumejipatia mbolea ya bustani". Mpishi naye akauliza ".Hutaki na sauti ya mbuzi tuifanye 'ring tone' kwenye simu yako?" Jamaa akajibu "Sikujua kama unaakili namna hiyo massawe,fanya ivyo basi".
   
 2. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  GOOOD joke mkuu
   
 3. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  poa mkuu
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  hahahahaha
   
 5. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  polepole usije ukatema koromeo
   
 6. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Je unaweza ukampangia mbuzi namna hiyo?
   
 7. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni bajeti hii sasa ni vunja rekodi duuuu,subiri waje wahusika kina mangi waone
   
 8. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Duuuuuuuu
   
 9. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Man who fight with wife all day get no piece at night.

  Lakini mbona lakini sifa hizi za Kipare, kwanini unasema mchaga wakati unajua mchaga si bahiri kihivyo?
   
 10. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh teh teh teh
   
 11. O

  Osward raphael Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaaap! Umeniongezea cku za kuishi coz ni bonge la kituko lnafurahisha thanks!
   
 12. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  we si mmoja wapo! Acha kukana wewee
   
 13. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  polee kumbe imeku touch!
   
Loading...