Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,191
Wewe unafikili aliishia wapi?Kwani Zizzou Fashion aliambiwa anauza ngada?
Na hapa ndio uhondo wa jf ulipo, mzaha mzaha hutumbua usaha!
Kwani uamini kuwa biashara ya nguo inaweza kukupa hela ya gari kama hilo?Habari wadau,
Kuna jamaa anaitwa Hussein Pamba Kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na Range Rover Vogue ya kisiasa.
Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza Dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za HPK ndugu Tipo Zizzou Fashion, ila naye amedondokea pua.
Gari la kisiasa? Mwenye picha ya hilo gari aweke.Habari wadau,Kuna jamaa anaitwa Hussein Pamba Kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na Range Rover Vogue ya kisiasa. Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza Dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za HPK ndugu Tipo Zizzou Fashion, ila naye amedondokea pua.
Wamiliki wengi wa maduka ya nguo ya kike na kiume wengi wao ni watu wa mitkasi....tuNa wewe azisha kiduka ch nguo uone kama utanunua hata kivitz.
Habari wadau,
Kuna jamaa anaitwa Hussein Pamba Kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na Range Rover Vogue ya kisiasa.
Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza Dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za HPK ndugu Tipo Zizzou Fashion, ila naye amedondokea pua.
Gari la kisiasa? Mwenye picha ya hilo gari aweke.