Hussein Mwinyi ndie mtoto pekee wa wazee wa asiye na kashifa mwenye future bright politically wengine hawana Wazee wao wakiondoka na wao kwaheri

CCM Ina wazee wa Chama kibao waliofanya makubwa nchi hii lakini wengi wa watoto wao hawana political future wakiwemo akina Nape ,fatuma karume akina Makamba ,Makongoro Nyerere,Ridhiwani Kikwete Nk

Mtoto pekee ambaye ana political future ya uhakika ni Raisi Hussein Mwinyi wa Zanzibar TU

Hao wengine wazazi wao wakizeeka sana au vizee vyao vi Godfather Wanavyovitegemea vikizeeka sana au kufa watapigwa mateke nje ya CCM na serikali sababu hawajibebi wanategemea mbeleko Za ohhh sisi CCM ya baba zet Na mama zetu !!! Ni Chama chetu!!!

Raisi Mwinyi anajibeba mwenyewe hategemei mbeleko ndio maana political future yake iko guaranteed tofauti na hao wengine
Unajua kuhusu issue ya ushoga na usagaji?
 
Ana kashfa kubwa sana ya kuua na kutesa wazanzibari wenzake wakati wa uchaguzi mkuu wa 2015 na 2020.He is hopeless sinner.
AIGRbs.jpg
 
Nitasimama popote kumdefwnd huyu hussein mwinyi ni mtu muadilifu na muungwana sana,ana roho ya kistaarabu kana kwamba hakukulia kwenye neema ya uongozi.

Maalim seif alipata shida sana kumponda mbele ya wazanzibar kwa sababu hakuna na la maana la kumsemea akabakia kusema oooh mtalii,mara ccm n.k ila kiukweli maalim mwenyewe alijua kwamba jamaa ni jembe
Ismail Jussa alitenguliwa miguu na nani wakati wa uchaguzi 2020?
 
Mwanadamu hana guarantee hiyo umayoiona wewe

Hata wewe miaka 10 iliyopita hukujua kama utakuwa hapo ulipo
Tuache uchawi na utabiri ambao hauna maana
 
CCM Ina wazee wa Chama kibao waliofanya makubwa nchi hii lakini wengi wa watoto wao hawana political future wakiwemo akina Nape ,fatuma karume akina Makamba ,Makongoro Nyerere,Ridhiwani Kikwete Nk

Mtoto pekee ambaye ana political future ya uhakika ni Raisi Hussein Mwinyi wa Zanzibar TU

Hao wengine wazazi wao wakizeeka sana au vizee vyao vi Godfather Wanavyovitegemea vikizeeka sana au kufa watapigwa mateke nje ya CCM na serikali sababu hawajibebi wanategemea mbeleko Za ohhh sisi CCM ya baba zet Na mama zetu !!! Ni Chama chetu!!!

Raisi Mwinyi anajibeba mwenyewe hategemei mbeleko ndio maana political future yake iko guaranteed tofauti na hao wengine
Hii ndiyo roho ya visasi uliyopandikiziwa. Huko nyuma hatukuwahi kuwa na hali hii ya kuwabagua baadhi yetu kisa tu baba zao walikuwa viongozi. Kwa roho ya namna hii ushindwe na ulegee. Umeona fursa ya ulaji wako imefungwa umeamua kutuletea uzi wa visasi. Mbona wakati ukila mema awamu iliyopita ulikaa kimya, zaidi ulishangilia tu. Kuwa mpole wenzio wakila kama ulivyokuwa wewe.
 
Back
Top Bottom