Hussein Mwinyi ndie mtoto pekee wa wazee wa asiye na kashifa mwenye future bright politically wengine hawana Wazee wao wakiondoka na wao kwaheri

CCM Ina wazee wa Chama kibao waliofanya makubwa nchi hii lakini wengi wa watoto wao hawana political future wakiwemo akina Nape ,fatuma karume akina Makamba ,Makongoro Nyerere,Ridhiwani Kikwete Nk

Mtoto pekee ambaye ana political future ya uhakika ni Raisi Hussein Mwinyi wa Zanzibar TU

Hao wengine wazazi wao wakizeeka sana au vizee vyao vi Godfather Wanavyovitegemea vikizeeka sana au kufa watapigwa mateke nje ya CCM na serikali sababu hawajibebi wanategemea mbeleko Za ohhh sisi CCM ya baba zet Na mama zetu !!! Ni Chama chetu!!!

Raisi Mwinyi anajibeba mwenyewe hategemei mbeleko ndio maana political future yake iko guaranteed tofauti na hao wengine
Kwani Hussen alishinda kihalali?
 
Hakushinda uchaguzi yuko hapo kwa wizi wa kura, mtutu wa bunduki na damu za Wazanzibari wasiokuwa na hatia,hili unaliona dogo?
JamiiForums-1778114462.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom