Hussein Mwinyi awaibia Watanzania

Hussein Mwinyi awaibia Watanzania

Mentee

Senior Member
Joined
Jul 14, 2010
Posts
142
Reaction score
29
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.
 
Tatizo hata wale wanaokesha makazini sioni wanachofanya zaidi ya wizi tu

Nadhani ni vema tuanze kupima hawa watu kwa results (matokeo) na sio vipi wanaonekana wapo busy (huenda wengine wapo busy wanaiba)
 
Unafahamu na muda anaotoka pia mkuu? pengine anatoka saa2 usiku!
 
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.

Ndiye Rais wako ajaye kama Uhuru Jommo Kenyatta!! Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kama kufanya kazi kwa digitali, na kazi zenyewe ni kutwa kuonekana kwenye luninga mkipokea vifaa vya kupimia watoto wenye vichwa vikubwa na kisha hapohapo mnawaomba waliowafadhili wawajengee na wodi, basi nyie ni wachapa kazi mlioendelea. Lakini kama ofisini huonekani na hakuna lolote unalobuni zaidi ya kungoja habari za kukuonyesha kwenye luninga, mmebugi meeeen!!

QUOTE=emrema;5884616]kufanya kazi si lazma uwe ofisini tuko digitali wewe. Acha umbea.[/QUOTE]
 
Mh! haya. na anaandaliwa kuja kuwa President.

Kwa Tanzania, hilo la yeye kuwa Presidaa sishangai. Linawezekana, kwani wee huoni tumeshaanza kurithishana vyeo kule kwenye NEC yetu?
 
Si unaiona nyumba yake ile mzee, hata ingekuwa mimi sehemu tamu kama ile ningekuwa nachelewa kutoka, jamaa ana hekalu tamu sana asee jamaa, linaleta raha kulizunguka zunguka tu
 
Mawaziri wote hakuna anayeripoti ofisini saa 1.30 asubuhi labda kuwe na shughuli maalumu. Lakini pia wengi wanatoka ofisini usiku! Kwahiyo wanafidia muda wa asubuhi wanaochelewa.
 
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.

Huyu ndie UHURU KENYATTA B wetu huyo ASISUMBULIWE Tafadhali...
 
Mawaziri wote hakuna anayeripoti ofisini saa 1.30 asubuhi labda kuwe na shughuli maalumu. Lakini pia wengi wanatoka ofisini usiku! Kwahiyo wanafidia muda wa asubuhi wanaochelewa.

Swali,sheria inawataka kuripoti kazini saa ngapi?

Kuna hata wakurugenzi wa mashirika ambao wanaingia kazini saa moja na nusu asubuhi na kutoka usiku.

Mimi mwenyewe ni shahidi wa hili.
 
Wakati mwingine ni vyema kuwa flexible. Kazi za waziri siyo za lazima kuanza hiyo saa moja na nusu. Mara nyingi hata appointment zao haziwekwi mapema kihivyo. Wakurugenzi na hata makatibu wakuu hawa wanawajibika kuvuka mapema pamoja na kwamba ni nadra kutoka ofisini saa Tisa na nusu. Kama alivyosema mchangiaji mmoja ni vizuri tuwapime kwa matokeo ya kazi zao siyo kwa saa za kuripoti kazini.
 
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.
kwa taarifa hiyo inabidi huwe unarudi nyumbani kwako mapema
 
Back
Top Bottom