Hussein Mwinyi awaibia Watanzania

Hussein Mwinyi awaibia Watanzania

Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.[/QUOTE

Kwani kazi ya waziri ni nini?
 
Kama kuna ukweli kuhusu hili inabidi abadilike mara moja, lakini haya yote ni kazi za kupeana tu, mtoto wa mwenzetu, mara mzee alinitoa kusini nk, haogopi kupoteza kibarua.

Ushauri: Kwa vile yeye bado ni kijana ana safari ndefu katika medani ya siasa abadili tabia mara moja kama nilivyosema hapo juu, awahi ofisini mapema iwezekanavyo, aache tabia za kisultani, hajui 2015 atakuwa nani na kwa tabia hiyo hapana.
 
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.

Ndio anapokaa nyumba yake ni ya kwanza(Kulia kwenda mbezi) ukimaliza ile eneo la wazi njia ya kwenda mbezi ukitoka round about ya kawe
 
Kama kuna ukweli kuhusu hili inabidi abadilike mara moja, lakini haya yote ni kazi za kupeana tu, mtoto wa mwenzetu, mara mzee alinitoa kusini nk, haogopi kupoteza kibarua.

Ushauri: Kwa vile yeye bado ni kijana ana safari ndefu katika medani ya siasa abadili tabia mara moja kama nilivyosema hapo juu, awahi ofisini mapema iwezekanavyo, aache tabia za kisultani, hajui 2015 atakuwa nani na kwa tabia hiyo hapana.

Kwani katiba inasema je kuhusu vigezo vya uteuzi?
 
Mawaziri wote hakuna anayeripoti ofisini saa 1.30 asubuhi labda kuwe na shughuli maalumu. Lakini pia wengi wanatoka ofisini usiku! Kwahiyo wanafidia muda wa asubuhi wanaochelewa.

Yeye ni roll model wetu anatakiwa awe mfano pia kufidi muda wanaokuwa kwenye shughuli za majimboni, siasa n.k.
 
hivi unajua Overtime ya Waziri ni kiasi Gani? chezea Serikali wewe huko kuchelewa kutoka wizarani ni aina ya kujiongezea Pato tu Ukiona mtu anafanya kazi zaidi ya Muda uliopangwa basi ana vitu kadhaa either ni Mvivu au hayuko makini na kazi nikimaanisha anakosea kosea hivyo inamrazimu kurudia rudia kazi hadi muda unaisha... hakuna mtu makini anayefanya muda wa ziada... kila siku hii hutokea kwa nadra sana kama amechelewa na analipa muda au kuna ongezeko la kazi na huwa ni kipindi maalum tu...

Kama waziri ni mcelewaji basi anakiuka kanuni za Kazi HR wake waziri mkuu anatakiwa amshughurikie kwani anasababisha upotevu wa maendeleo kama mtu alienda wizarani kwa shida ya kumuona waziri analazimika kuspoteza muda wake kisa waziri kachelewa kufika officean alikuwa anapaka wanja
 
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.
nasikia jamaa anapenda totos sana, na kama baba yake, ni mzee wa ruksa hata kwa mambo yanayohitaji utaalamu, anaruhusu huku akipinga ushauri wa kitaalam. Tetesi ni kuwa ati ndiye presidaa ajaye,?????
 
Huyu jamaa huwa ananishangaza sana yeye ni waziri lakini jioni akiwa anarejea Home kwake lile Foleni la mikocheni hadi darajani hutanua na kuacha foleni hata matrafiki hawamshiki huyu Mvunja Sheria za Nchi... Hakuna wizara aliyovuna Mazuri vyeo vya kupeana....
 
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.

Huyo ni Mwinyi mwinyi kweli kweli. Kwani huzijui tabia za ma-mwinyi?
 
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.

kawambwa na Mulugo + Magembe nasikia wanawahi sana Ofisini je kuwahi kwao ndio ufanisi?
 
Ndio tabu ya kuajiri mizanzibar mijitu mivivu kama nn sijui wanaipendea nn.

AliHassan Mwinyi (born May 8, 1925,Kivure, Coast Region, Tanzania) is a Tanzanianpolitician.[SUP][1][/SUP]He was the second President of the UnitedRepublic of Tanzania from 1985 to 1995.[SUP][1][/SUP]Previous posts include Interior Minister and Vice President.[SUP][1][/SUP]He also was chairman of the ruling party, the Chama Cha Mapinduzi (CCM) from 1990 to 1996) source:http://en.wikipedia.org/wiki/Ali_Hassan_Mwiny
 
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.

Hii tabia ya kufuatilia maisha ya watu hapa JF hatuipendi. Mwache waziri mwinyi achape kazi yake.

hii tabia ya kufuatilia maisha ya watu hapa jf hatuipendi. Mwache waziri mwinyi achape kazi yake.

ameamua kuwa waziri(kiongozi). Maisha yake ni kioo, jamii ni lazima imfuate na kuona kuwa analipwa pato halali linalotokana na kodi zao. Kama hupendi tumfuate maisha yake arudi uraiani kama raia wa kawaida, hakuna atakayemfuata fuata
 
Yeye ni roll model wetu anatakiwa awe mfano pia kufidi muda wanaokuwa kwenye shughuli za majimboni, siasa n.k.
Kwa nini wazifidie, kwani hizo siyo shughuli za uma zilizo katika majukumu Yao? Usisahau kuwa ni wabunge pia na JD zao zina haya majukumu pia. Binafsi nitamchagua role model wangua anayetimiza malengo na siyo anayekwenga ofisini mapema au hata kulala ofisini lakini hatimizi malengo wala wajibu wake!
 
hivi unajua Overtime ya Waziri ni kiasi Gani? chezea Serikali wewe huko kuchelewa kutoka wizarani ni aina ya kujiongezea Pato tu Ukiona mtu anafanya kazi zaidi ya Muda uliopangwa basi ana vitu kadhaa either ni Mvivu au hayuko makini na kazi nikimaanisha anakosea kosea hivyo inamrazimu kurudia rudia kazi hadi muda unaisha... hakuna mtu makini anayefanya muda wa ziada... kila siku hii hutokea kwa nadra sana kama amechelewa na analipa muda au kuna ongezeko la kazi na huwa ni kipindi maalum tu...Kama waziri ni mcelewaji basi anakiuka kanuni za Kazi HR wake waziri mkuu anatakiwa amshughurikie kwani anasababisha upotevu wa maendeleo kama mtu alienda wizarani kwa shida ya kumuona waziri analazimika kuspoteza muda wake kisa waziri kachelewa kufika officean alikuwa anapaka wanja
Uwaziri ni moja ya kada zisizo na overtime!
 
Hii tabia ya viongozi kutowajibika sio nzuri waache mara moja...

Kwa mfani DK Slaa mpaka leo hajasema alijikopesha kwa sheria ipi zile ruzuku za chama...
Akumbuke zile ni kodi za walala hoi
 
Back
Top Bottom