Hussein Bashe ni Mzigo, mtoe haraka vinginevyo abadilike

Au mleta uzi unaimendea hiyo nafasi. Umeandika kinafiki nafiki tu.
 
Kumbuka yeye ni naibu waziri tu, atafanya fanyavyo lakini mwenye kuwajibika na final say ni waziri kamili.

Yeye anashauri na kupangiwa majukumu ya kutekeleza, ndio maana hata lawama haiziendi kwa manaibu bari kwa waziri mwenye dhamana.
 
Kutokana na mabadiliko ya baraza la mawaziri lililotokea hivi karibuni mh Hussain Bashe alipata teuzi, tofauti na tulivyotarajia huyu jamaa yuko kimya tu wala hatujui anafanyanini hapo wizarani. Mvua za vuli zimeanza kunyesha sijamwona akienda minjingu kuangalia kama kuna mbolea ya kutosha. Tuna order yakupeleka mahindi Zimbabwe na Kenya jamaa wala hatoi mrejesho. Yupoyupo tu tofauti na akina Dr Kalemani Bashungwa Biteko Kigwangala

Tofauti na mh Bashungwa na Biteko hayo ni majembe kwelikweli siku yameteuliwa tukaona cheche kesho yake na yanaendelea kupiga kazi. Watanzania tulichelewa mno kuendelea tunahitaji watu wachapa kazi na sio watu wamichakato kujifunza vipaumbele hapana, uwaziri sio darasa la uongozi ni ofisi ya umma, hatuhitaji mtu wa kuanza farmirilazation. Mbona kule bungeni alikuwa kila siku anadadavua mambo kumbe zilikuwa porojo tu. Hebu atoke haraka asitupotezee muda.
Mbonaa una nyegee weweee
Kwani biashara gani anafanya hadi gone matangazoo
 
MPE muda kuna vitu anajifunza kwanza. The guy is really smart. Ukizingatia alikuwa mkosoaji sana wa mipango ya wizara hii na ya fedha hivyo lazima awe makini ili atembee kwenye maneno yake. Na ninaamimi kwa jinsi alivyo atakuwa waziri wa kwanza ktk awamu hii kujiuzuru kwa hiari maana ni vigumu sana kutekeleza Yale aliyoyaamini na kuyapigia kelele na alishaambiwa THE BOSS IS ALWAYS RIGHT
 
Ni kama lawama ya familia unapeleka kwa mwanamke alyiolewa juzi tu badala ya mwanaume
 
Kutokana na mabadiliko ya baraza la mawaziri lililotokea hivi karibuni mh Hussain Bashe alipata teuzi, tofauti na tulivyotarajia huyu jamaa yuko kimya tu wala hatujui anafanyanini hapo wizarani. Mvua za vuli zimeanza kunyesha sijamwona akienda minjingu kuangalia kama kuna mbolea ya kutosha. Tuna order yakupeleka mahindi Zimbabwe na Kenya jamaa wala hatoi mrejesho. Yupoyupo tu tofauti na akina Dr Kalemani Bashungwa Biteko Kigwangala

Tofauti na mh Bashungwa na Biteko hayo ni majembe kwelikweli siku yameteuliwa tukaona cheche kesho yake na yanaendelea kupiga kazi. Watanzania tulichelewa mno kuendelea tunahitaji watu wachapa kazi na sio watu wamichakato kujifunza vipaumbele hapana, uwaziri sio darasa la uongozi ni ofisi ya umma, hatuhitaji mtu wa kuanza farmirilazation. Mbona kule bungeni alikuwa kila siku anadadavua mambo kumbe zilikuwa porojo tu. Hebu atoke haraka asitupotezee muda.

Rubbish
 
Bashe yupo kanda ya ziwa anawafariji wakulima wa pamba waliododewa.

Nimeona juzi kwenye media akipiga kisukuma pale Igunga.

Mmeanza majungu tayari!
 
I am relieved to find out the criticism is trivial.

Bashe is one of the sharpest bluebook reading whippersnappers out there. A "Young Turk" who criticised the government with statistical torrents and first principles worthy of an Oxford debate, minus the Commons banter.

Now that the "witch" is tasked with babysitting, his ascent from the backbenchers is testing how receptive to disruptive change this government is.
 
we unamsema bashe yup?
Mbona kijana yuko poa tu na kazi anapiga au ulitaka ipewe wewe 😄 😄
 
Kutokana na mabadiliko ya baraza la mawaziri lililotokea hivi karibuni mh Hussain Bashe alipata teuzi, tofauti na tulivyotarajia huyu jamaa yuko kimya tu wala hatujui anafanyanini hapo wizarani. Mvua za vuli zimeanza kunyesha sijamwona akienda minjingu kuangalia kama kuna mbolea ya kutosha.

Kobe akiinama ujue ana jambo ...subiri
 
hivi ulitaka uteuliwe wewe? yaani wewe pimbi kuliko pimbi wenyewe
 
Unalinganisha Waziri na Naibu Waziri,

Jaribu kumlinganisha na Manaibu wenzake
 
Kutokana na mabadiliko ya baraza la mawaziri lililotokea hivi karibuni mh Hussain Bashe alipata teuzi, tofauti na tulivyotarajia huyu jamaa yuko kimya tu wala hatujui anafanyanini hapo wizarani. Mvua za vuli zimeanza kunyesha sijamwona akienda minjingu kuangalia kama kuna mbolea ya kutosha. Tuna order yakupeleka mahindi Zimbabwe na Kenya jamaa wala hatoi mrejesho. Yupoyupo tu tofauti na akina Dr Kalemani Bashungwa Biteko Kigwangala

Tofauti na mh Bashungwa na Biteko hayo ni majembe kwelikweli siku yameteuliwa tukaona cheche kesho yake na yanaendelea kupiga kazi. Watanzania tulichelewa mno kuendelea tunahitaji watu wachapa kazi na sio watu wamichakato kujifunza vipaumbele hapana, uwaziri sio darasa la uongozi ni ofisi ya umma, hatuhitaji mtu wa kuanza farmirilazation. Mbona kule bungeni alikuwa kila siku anadadavua mambo kumbe zilikuwa porojo tu. Hebu atoke haraka asitupotezee muda.
Wewe umetumwa na mawakala wa mabeberu sio bure,mtu hata siku 10 hajamaliza ofisini umeshaanza kulalamika?,siku nyingine ukitumwa uwe unachakata kwanza hayo mambo sio kuyatoa kama ulivyopewa
 
Wizara ina manaibu wawili,kuna bashe na yule mh wa Morogoro kusini
Kila mtu ana mipaka yake,acha wivu na chuki binafsi
korosho, korosho, korosho, korosho, korosho zetu zimeporwaaaaaaaa
 
Minjingu walilalamika kutozwa kodi zisizo rafiki nazo anasubiri balozi wakenya amshauri nini cha kufanya? Hebu atoke asitupotezee ramani za maisha, kile kibabu cha uchukuzi kila siku kinaibua miradi mipya safi sana, watanzania wanataka maendeleo.
Sasa Kodi anatoza yy ? Hiyo si tra ?
 
Back
Top Bottom