Kutokana na mabadiliko ya baraza la mawaziri lililotokea hivi karibuni mh Hussain Bashe alipata teuzi, tofauti na tulivyotarajia huyu jamaa yuko kimya tu wala hatujui anafanyanini hapo wizarani. Mvua za vuli zimeanza kunyesha sijamwona akienda minjingu kuangalia kama kuna mbolea ya kutosha. Tuna order yakupeleka mahindi Zimbabwe na Kenya jamaa wala hatoi mrejesho. Yupoyupo tu tofauti na akina Dr Kalemani Bashungwa Biteko Kigwangala
Tofauti na mh Bashungwa na Biteko hayo ni majembe kwelikweli siku yameteuliwa tukaona cheche kesho yake na yanaendelea kupiga kazi. Watanzania tulichelewa mno kuendelea tunahitaji watu wachapa kazi na sio watu wamichakato kujifunza vipaumbele hapana, uwaziri sio darasa la uongozi ni ofisi ya umma, hatuhitaji mtu wa kuanza farmirilazation. Mbona kule bungeni alikuwa kila siku anadadavua mambo kumbe zilikuwa porojo tu. Hebu atoke haraka asitupotezee muda.