Kalemani mwwnyewe anasimamia REA tu. Ila kwenye mikataba ya mafuta na gesi mweupe. hanna anachokifanya kwenye mafuta na gesi na wala simuoniHivi unajua Bashe ni msaidizi tu wa waziri? Kwanini usimshutumu waziri mwenyewe wa kilimo kuliko wasaidizi wake? Usilete promo za kijingajinga za Kalemani. Tafuta mbinu nyingine za kumtangaza Kalemani lakini si kwa njia hii ya wivu
Ulilala na viroba kichwani? analysis gani hii ya mwendawazimu?!Kutokana na mabadiliko ya baraza la mawaziri lililotokea hivi karibuni mh Hussain Bashe alipata teuzi, tofauti na tulivyotarajia huyu jamaa yuko kimya tu wala hatujui anafanyanini hapo wizarani. Mvua za vuli zimeanza kunyesha sijamwona akienda minjingu kuangalia kama kuna mbolea ya kutosha. Tuna order yakupeleka mahindi Zimbabwe na Kenya jamaa wala hatoi mrejesho. Yupoyupo tu tofauti na akina Dr Kalemani Bashungwa Biteko Kigwangala
Tofauti na mh Bashungwa na Biteko hayo ni majembe kwelikweli siku yameteuliwa tukaona cheche kesho yake na yanaendelea kupiga kazi. Watanzania tulichelewa mno kuendelea tunahitaji watu wachapa kazi na sio watu wamichakato kujifunza vipaumbele hapana, uwaziri sio darasa la uongozi ni ofisi ya umma, hatuhitaji mtu wa kuanza farmirilazation. Mbona kule bungeni alikuwa kila siku anadadavua mambo kumbe zilikuwa porojo tu. Hebu atoke haraka asitupotezee muda.
Nyie ndo mnajifanya kujua kila kitu kumbe ni maboga tu.Kutokana na mabadiliko ya baraza la mawaziri lililotokea hivi karibuni mh Hussain Bashe alipata teuzi, tofauti na tulivyotarajia huyu jamaa yuko kimya tu wala hatujui anafanyanini hapo wizarani. Mvua za vuli zimeanza kunyesha sijamwona akienda minjingu kuangalia kama kuna mbolea ya kutosha. Tuna order yakupeleka mahindi Zimbabwe na Kenya jamaa wala hatoi mrejesho. Yupoyupo tu tofauti na akina Dr Kalemani Bashungwa Biteko Kigwangala
Tofauti na mh Bashungwa na Biteko hayo ni majembe kwelikweli siku yameteuliwa tukaona cheche kesho yake na yanaendelea kupiga kazi. Watanzania tulichelewa mno kuendelea tunahitaji watu wachapa kazi na sio watu wamichakato kujifunza vipaumbele hapana, uwaziri sio darasa la uongozi ni ofisi ya umma, hatuhitaji mtu wa kuanza farmirilazation. Mbona kule bungeni alikuwa kila siku anadadavua mambo kumbe zilikuwa porojo tu. Hebu atoke haraka asitupotezee muda.
Kutokana na mabadiliko ya baraza la mawaziri lililotokea hivi karibuni mh Hussain Bashe alipata teuzi, tofauti na tulivyotarajia huyu jamaa yuko kimya tu wala hatujui anafanyanini hapo wizarani. Mvua za vuli zimeanza kunyesha sijamwona akienda minjingu kuangalia kama kuna mbolea ya kutosha. Tuna order yakupeleka mahindi Zimbabwe na Kenya jamaa wala hatoi mrejesho. Yupoyupo tu tofauti na akina Dr Kalemani Bashungwa Biteko Kigwangala
Tofauti na mh Bashungwa na Biteko hayo ni majembe kwelikweli siku yameteuliwa tukaona cheche kesho yake na yanaendelea kupiga kazi. Watanzania tulichelewa mno kuendelea tunahitaji watu wachapa kazi na sio watu wamichakato kujifunza vipaumbele hapana, uwaziri sio darasa la uongozi ni ofisi ya umma, hatuhitaji mtu wa kuanza farmirilazation. Mbona kule bungeni alikuwa kila siku anadadavua mambo kumbe zilikuwa porojo tu. Hebu atoke haraka asitupotezee muda.
hahahahaha . . . . . . . . . .nimecheka sana nilipoliona neno michakatoWatanzania tulichelewa mno kuendelea tunahitaji watu wachapa kazi na sio watu wamichakato kujifunza vipaumbele hapana, uwaziri sio darasa la uongozi ni ofisi ya umma, hatuhitaji mtu wa kuanza farmirilazation.