Hussein Bashe ni Mzigo, mtoe haraka vinginevyo abadilike

Usitarajie jipya la aina yoyote ile kutoka kwa Bashe wala Waziri yoyote yule ,maana sifa zote anazitaka Jiwe unafikiri atampa nafasi waulize mawaziri waliopo mda mrefu mamlaka yote anayo jiwe hatosi nafasi mwingine apate sifa .
 
Mtoa mada acha Chuki mm naona kinachokusumbua si kingine bali

NI WIVU NI WIVU TU
wivu wanini tena? wapinzani kazi yao ni kuikosoa chama tawala na chama tawala kazi yake ni kuwatumikia watu, sasa usipowatumikia watu unakosa sifa ya kuwa chama tawala, kwa kauli yake Bashe alisema kama ccm imeshindwa kutumikia watu itoke madarakani, sasa yeye ndio anapaswa kutumika ili ionekane ccm inafanyakazi kama hawezi kufanyakazi aondoke asijeondoka na ccm yetu baba.
 
Watu wakishauriwa kutokunywa mapombe ya kienyeji yaliyo chacha, ubishi tuuuu matokeo yake ndiyo hayo!!. Bashe hata mwezi hajamaliza umeshabaini hafai looo!!

Kigwa huyo~!
 
Kila mtu ni mjujiaji kisa uhuru wa kuongea, mtu naisi hata week tatu hajafikisha na kuna mgawanyo wa kazi pia ha ha ha ha Watanzania tubadilike na hujui labda pengine wanamipango gani, yani kila mtu anataka kucontrol serikari ha ha ha ha inasikitisha sana
Mtu ana lala akiamka anawaza lake mambo hayaendi kwa pupa kiasi hicho mkuu ni utararibu na kwa step
 
Mkuu umejiunga JF 2007 Probably una miaka 40+ ila unaongea Pumba za design hii kweli??
 
Kama mchezo au utani, mkuu komaa kuandika posti Mara kwa mara atakusikia kwani teuzi nyingi anasikiliza humu humu!
 
hiyo sijui michakato ndio hiyo tunayokataa, mvua zimeanza kunyesha mbolea hakuna hatujui akina ya mbolea ikoje hatjui hali ya mazao shambani ikoje hatujui maofisa ugani wako wapi mnakaa maofisini mnaendelea na michakato na upembuzi yakinifu, alah!

Mkuu mvua zimeanza kunyesha wapi?
 
Mwache mwenzio ale kakeki kidogo punguza kawivu kidogo, mvua inanyesha wapi!
 
Jamani mbona hata ofisi hajaijua vizuri mmeanza kusema hafai? We mbona unaonyesha una chuki na wiv ? Mwacha mtu afanye kazi angalau kwa mwaka mmoja ndio umzungumzie.
 
mkuu mie sio mtatiro sihitaji teuzi, pia unahakika gani kama sina teuzi?
Mkuu wasomi wanasema 'No research no right to speak' inaonekana huna taarifa za Bashe...

Kwa taarifa yako tu Bashe tupo nae huku kijijini tunashughulikia swala la PAMBA, yaani wana kijiji huku walimpokea kama kama malaika aliyekuja kuwakomboa.... hakuna waziri wala naibu waziri aliyewahi kufika huku kutatua tatizo la zao la Pamba....

Tupo na Mh huku kijijini aisee.... Tafuta taarifa sahihi za mtu kabla hujakurupuka na taarifa zako.... Total shitt....
 
Kila mtu ni mjujiaji kisa uhuru wa kuongea, mtu naisi hata week tatu hajafikisha na kuna mgawanyo wa kazi pia ha ha ha ha Watanzania tubadilike na hujui labda pengine wanamipango gani, yani kila mtu anataka kucontrol serikari ha ha ha ha inasikitisha sana
Mtu ana lala akiamka anawaza lake mambo hayaendi kwa pupa kiasi hicho mkuu ni utararibu na kwa step
Mkuu mbona Mh Bashe tupo nae huku kijijini, mleta mada kaamua kukurupuka, Bashe hayupo ofisini yupo kijijini anashughulikia tatizo la bei ya zao la Pamba....
 
Kutokana na mabadiliko ya baraza la mawaziri lililotokea hivi karibuni mh Hussain Bashe alipata teuzi, tofauti na tulivyotarajia huyu jamaa yuko kimya tu wala hatujui anafanyanini hapo wizarani. Mvua za vuli zimeanza kunyesha sijamwona akienda minjingu kuangalia kama kuna mbolea ya kutosha. Tuna order yakupeleka mahindi Zimbabwe na Kenya jamaa wala hatoi mrejesho. Yupoyupo tu tofauti na akina Dr Kalemani Bashungwa Biteko Kigwangala

Tofauti na mh Bashungwa na Biteko hayo ni majembe kwelikweli siku yameteuliwa tukaona cheche kesho yake na yanaendelea kupiga kazi. Watanzania tulichelewa mno kuendelea tunahitaji watu wachapa kazi na sio watu wamichakato kujifunza vipaumbele hapana, uwaziri sio darasa la uongozi ni ofisi ya umma, hatuhitaji mtu wa kuanza farmirilazation. Mbona kule bungeni alikuwa kila siku anadadavua mambo kumbe zilikuwa porojo tu. Hebu atoke haraka asitupotezee muda.
Una maana mnahitaji wanyapara badala ya viongozi?
 
Jamani mbona hata ofisi hajaijua vizuri mmeanza kusema hafai? We mbona unaonyesha una chuki na wiv ? Mwacha mtu afanye kazi angalau kwa mwaka mmoja ndio umzungumzie.
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussen Bashe, amesema kuwa serikali haitakubali tena changamoto zilizo jitokeza kwenye zao la pamba msimu huu kujirudia katika msimu ujazo wa zao hilo. Bashe ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Julai 31, baada ya kutembelea chama cha msingi cha ushirika (Amcos) Zuya, kili chopo kata ya Nyakabindi halmashuari ya Mji wa Bariadi kabla ya kwenda kwenye viwanja vya nanenane kukagua maandalizi ya sherehe hizo kitaifa.

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewa hakikishia masoko wakulima wa Pamba. Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amekagua soko la pamba katika wilaya za Nzega na igunga huko mkoani Tabora soko ambalo limekuwa liki suasua kutokana na wanunuzi kukosa fedha za
kununua zao hilo huku akiwahakikishia wakulima
wa zao hili kupata fedha zao.

Ni vizuri angepewa Job descrption ili ajuwe mipaka yake...I am smelling rat......
 
basi ukoo wenu ndio upewe wizara zote tuone mtakachkifanya,mkuu una kinyampwimpwi
 
Kutokana na mabadiliko ya baraza la mawaziri lililotokea hivi karibuni mh Hussain Bashe alipata teuzi, tofauti na tulivyotarajia huyu jamaa yuko kimya tu wala hatujui anafanyanini hapo wizarani. Mvua za vuli zimeanza kunyesha sijamwona akienda minjingu kuangalia kama kuna mbolea ya kutosha. Tuna order yakupeleka mahindi Zimbabwe na Kenya jamaa wala hatoi mrejesho. Yupoyupo tu tofauti na akina Dr Kalemani Bashungwa Biteko Kigwangala

Tofauti na mh Bashungwa na Biteko hayo ni majembe kwelikweli siku yameteuliwa tukaona cheche kesho yake na yanaendelea kupiga kazi. Watanzania tulichelewa mno kuendelea tunahitaji watu wachapa kazi na sio watu wamichakato kujifunza vipaumbele hapana, uwaziri sio darasa la uongozi ni ofisi ya umma, hatuhitaji mtu wa kuanza farmirilazation. Mbona kule bungeni alikuwa kila siku anadadavua mambo kumbe zilikuwa porojo tu. Hebu atoke haraka asitupotezee muda.
Chuki huziba ufahamu.... Chuki zako kwa Bashe zitakuuwa we lafa....... Yaani mtu hana hata wiki ofisini ushaanza kulalamika anyway kwa taarifa yako ambazo sisi tunaziona tayari kashaenda Tabora, kafanya mkutano na AGRA kwa ajili ya kuanizsha zone 12 za mbegu bora na za kisasa kwa mazao yote nchini. Kasimamia na wiki ijayo wakulima wote wa pamba wanalipwa. jana alikuwa Simiyu na leo anashiriki ufunguzi wa nane nane.
 
Kutokana na mabadiliko ya baraza la mawaziri lililotokea hivi karibuni mh Hussain Bashe alipata teuzi, tofauti na tulivyotarajia huyu jamaa yuko kimya tu wala hatujui anafanyanini hapo wizarani. Mvua za vuli zimeanza kunyesha sijamwona akienda minjingu kuangalia kama kuna mbolea ya kutosha. Tuna order yakupeleka mahindi Zimbabwe na Kenya jamaa wala hatoi mrejesho. Yupoyupo tu tofauti na akina Dr Kalemani Bashungwa Biteko Kigwangala

Tofauti na mh Bashungwa na Biteko hayo ni majembe kwelikweli siku yameteuliwa tukaona cheche kesho yake na yanaendelea kupiga kazi. Watanzania tulichelewa mno kuendelea tunahitaji watu wachapa kazi na sio watu wamichakato kujifunza vipaumbele hapana, uwaziri sio darasa la uongozi ni ofisi ya umma, hatuhitaji mtu wa kuanza farmirilazation. Mbona kule bungeni alikuwa kila siku anadadavua mambo kumbe zilikuwa porojo tu. Hebu atoke haraka asitupotezee muda.
Huo sasa wivuu duuu!
 
Back
Top Bottom