Hussein Bashe na kundi kubwa la team Lowassa kuingia CHADEMA rasmi

Hussein Bashe na kundi kubwa la team Lowassa kuingia CHADEMA rasmi

kujiunga waje wote, ila chenge, tibaijuka na muhongo au escrow yote hatutawapokea. kwasababu hawasafishiki, lowasa amesafishika baada ya kusema mamlaka ya juu ndiyo iliyoamua juu ya richmond na inasemekana suala hili alishawahi kumconfront mkulu kikaoni dodoma.

kilichobaki hapa ni kuiba kura au kumfuta lowasa, watz tumlinde lowasa kabla hawajamfanyia umafia.

Wasiwasi wangu ni uhuni wa tume na wakurugenzi wa halimashauri kuipa ccm majina ya waliojiandikiaha toka mashine za bvr na kuyatumia kupigia kura kwani watawapa vitambulisho vingine. Mhusika akienda kituoni anaambiwa kadi hii imeshapiga kura.Kuhusu ulinzi wa Lowassa usiwe na shaka kwani ulinzi wake binafsi alio nao hata wa raisi hauoni ndani.
 
Wasiwasi wangu ni uhuni wa tume na wakurugenzi wa halimashauri kuipa ccm majina ya waliojiandikiaha toka mashine za bvr na kuyatumia kupigia kura kwani watawapa vitambulisho vingine. Mhusika akienda kituoni anaambiwa kadi hii imeshapiga kura.Kuhusu ulinzi wa Lowassa usiwe na shaka kwani ulinzi wake binafsi alio nao hata wa raisi hauoni ndani.

nadhani wao wanapaswa kumlinda zaidi, maana likimtokea LA kumtokea hawatakuwa Na la kujitetea
 
Taarifa za uhakika nilizozipata toka ndani ya team Lowassa pamoja na chanzo cha karibu na kijana wake mtiifu Bashe zinaeleza kuwa vijana hao wameamua kufanya maamuzi magumu Kama alofanya EL ya kuhama CCM na kuingia UKAWA kupitia chadema....



let's wait and see..

Watu sijui mna nini,hapa Nzega Bashe ameshinda kwa 99% na atagombea kwa tiketi ya ccm,sasa habari za kukulupuka sijui kwa nini hua mnaziweka hapa bila utafiti
 
Karibuni makamanda watarajiwa tuikomboe nchi yetu dhidi ya dhulumati CCM! Karibuni sana!!
 
Acha kujidanganya eti watauza. Tayari upinzani umepoteza dira kwa kukosa maarifa wenyewe
 
Amekatwa tena msomali wa watu?haya amfate bwana wake kwenye dampo la takataka za ccmilele
 
Naona pro-Chadema wameamua kijifariji kitokana na msogo wa mawazo baada ya Dr.Slaa kususa.
 
Vijana wengi bado wana mawazo finyu ya kudhani kwamba ukitaka ubunge utaupata kupitia ccm mwaka mtashangaa hata Nape ataanguka vibaya wala hata amini maana ipo siri kubwa ndani ya mioyo ya watanzania.ukiongea na watu 10 saba hawataipigia ccm ila wamejifanya kama wapo ccm

kutakuwa na mshtuko mkubwa sana mwaka huu.huyo Lowassa waliyemkataa ataimaliza ccm na atakuwa Rais wao mwaka huu
 
Gunia moja LA sukari ....halibadilishi maji ya bahari,aliondoka maalim seif na kundi lkn ccm haijaondoka mpaka leo

Wewe pozeo la Kanye west! Naona umejisahau au hujui ulicho andika, usitumie kigezo cha Maalim seif na mabadiliko ya kisiasa kama ulivyo maanisha,kwani yeye ndio chachu ya yote haya kwa kujiamini kwenye kipindi kigumu cha mfalme mchonga, unapo sema ccm Haija ondoka ulitaka iondoke vipi?maalim kaanza tokea maji ya nyayo hadi sasa ccm maji shingoni kinacho subiriwa niupepo tu ulete winbi litakalo inywesha maji ccm, tulimbeza yeye na hao unaosema walimfuata na wanzanzibari kwa ujumla tukasema kua kazi Yao ni siasa tu hawafikirii shuhuli za kimaendeleo, tujiangalie sisi sasa tupo wapi? Tunapigana nakuhasimiana naw hata kuuana, na hio ccm itakua ni mega mega mti anguka tule nyama, kwani mazimwi tumeizunguka, chanzo kama utakumbuka vizuri ni MAALIM, S, SHARIF, penga makamasi, safisha ubongo.
 
Back
Top Bottom