Hussein Bashe na kundi kubwa la team Lowassa kuingia CHADEMA rasmi

Hussein Bashe na kundi kubwa la team Lowassa kuingia CHADEMA rasmi

Wana haki ya kufanya hivyo. Wa TZ tuondoe HOFU BANDIA. CCM siyo Mungu. Ni haki ya kikatiba kuhamia chama chochote cha kisiasa kilichosajiliwa kisheria. Hama! hama! hama!

Kenya kuhama ni jambo la kawaida
 
Gunia moja LA sukari ....halibadilishi maji ya bahari,aliondoka maalim seif na kundi lkn ccm haijaondoka mpaka leo
 
bashe hawezi kuacha ubunge ,akabanane na kina mnyika huko cdm
 
Watakao jiunga na vyama vinavyounda ukawa ni wachache tu.wengi watabak ccm kura kwa lowasa na hiyo ndo hatar kubwa zaidi

Kinachotakiwa ni kuwafukuza ma ccm toka ikulu,wakajiunge na kina tlp,na udp na mtoto wao act
 
Gunia moja LA sukari ....halibadilishi maji ya bahari,aliondoka maalim seif na kundi lkn ccm haijaondoka mpaka leo

Mwisho wake mkampigia magoti na kuunda serikali ya umoja,na mwaka huu mtaisoma maana hata wabunge 50 hampati
 
Gunia moja LA sukari ....halibadilishi maji ya bahari,aliondoka maalim seif na kundi lkn ccm haijaondoka mpaka leo

umeanza kumzungumzia maalim seif mwaka dawa itakolea mpaka mtaehuke na kufa.
 
Back
Top Bottom