Hussein Bashe na kundi kubwa la team Lowassa kuingia CHADEMA rasmi

Kaplizer

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
727
Reaction score
598
Taarifa za uhakika nilizozipata toka ndani ya team Lowassa pamoja na chanzo cha karibu na kijana wake mtiifu Bashe zinaeleza kuwa vijana hao wameamua kufanya maamuzi magumu Kama alofanya EL ya kuhama CCM na kuingia UKAWA kupitia chadema....

let's wait and see..
 
Huyo bashe si amechukuwa fomu kugombea ubunge kupitia CCM kule Nzega
 
kujiunga waje wote, ila chenge, tibaijuka na muhongo au escrow yote hatutawapokea. kwasababu hawasafishiki, lowasa amesafishika baada ya kusema mamlaka ya juu ndiyo iliyoamua juu ya richmond na inasemekana suala hili alishawahi kumconfront mkulu kikaoni dodoma.

kilichobaki hapa ni kuiba kura au kumfuta lowasa, watz tumlinde lowasa kabla hawajamfanyia umafia.
 
well said mkuu.
 
Back
Top Bottom