Husninyo Pokea Proposal

2nahama kiwanja sasa. 2naenda Savannah lounge

tan taraaaa!...ricky labda aende club aquiliner...akakamate watoto wakimbulu pale...dar ndio tanzania bana...anataka kushindana na sisi!Mwambie amy hii ndo daslam! na kila siku ni kama sikukuu...sio mpaka eid kubwa sijui!
 
Unadhani hvyo vyote amevpata wapi? Angalia sana kijana
Hahahaaaaa kweli ushachoka sana..unauliza kavipata wapi?
Mtoto kaenda shule au unamuonaje?
Unamuangalia kwa wasiwasi eeeh
Take Care kijana
 
ngoja mie nikafundishe kingereza mtaa wa pili, hapa wamejaa watunzi wa mashairi ya taarabu.
 
tan taraaaa!...ricky labda aende club aquiliner...akakamate watoto wakimbulu pale...dar ndio tanzania bana...anataka kushindana na sisi!Mwambie amy hii ndo daslam! na kila siku ni kama sikukuu...sio mpaka eid kubwa sijui!
Teh kama Dar ingekuwa ndo mambo yote wife asingekuwa ndani ya kifua cha kijana Erickb52......na leo huoni hapatikani?
Mtoto ananiangalia hapa ninavyoreply Pumba zako na Mtei
Hahahahahahaaaaaa kwisha habari yenu
 
Mbona hivyo bagah mwantia hasira kumchukua Amyner shemeji yangu
 
Kama ya Uporoto na Husny haikudumu je yako itadumu?
Ukizingatia wewe ni mwenyekiti wa Mjungu Society....
Lol atakukimbia hata kabla ya week mbili lol

mwenyejamvi ni nani?anyway i wil prove you wrong thats a promise!,nimefundwa nikafundika eeh
 
Hahahaaaaa kweli ushachoka sana..unauliza kavipata wapi?
Mtoto kaenda shule au unamuonaje?
Unamuangalia kwa wasiwasi eeeh
Take Care kijana

hahahahahaha mwanaume pesa. Unatoa mimacho 2 wakat mfukon hauna hata sumni.

Acha mimi nilee mtoto mrembo. alikuwa ana2mia Opa bt nina plan ya kumnunulia prado ya mwaka 2011.
Hatak tena kupanda toyo
 
Teh kama Dar ingekuwa ndo mambo yote wife asingekuwa ndani ya kifua cha kijana Erickb52......na leo huoni hapatikani?
Mtoto ananiangalia hapa ninavyoreply Pumba zako na Mtei
Hahahahahahaaaaaa kwisha habari yenu

Hahaha. Anaangalia vle unatoa mimate kujitetea hapa wakat hata haujala.
 
mwenyejamvi ni nani?anyway i wil prove you wrong thats a promise!,nimefundwa nikafundika eeh
Ah mpaka sasa nimeprove Canta na Amy wambefundwa wakafundishika ila wewe na SL bado mnasuasua ingawa SweetLady Nitonye amefanikiwa kumuweka sawa siku hizi....kazi ni kwako sasa
 
hahahahahaha mwanaume pesa. Unatoa mimacho 2 wakat mfukon hauna hata sumni.

Acha mimi nilee mtoto mrembo. alikuwa ana2mia Opa bt nina plan ya kumnunulia prado ya mwaka 2011.
Hatak tena kupanda toyo

true that...opa imekua yeboyebo sana...infakt she z too beautful for it!...Verosa ingekua poa zaidi!
 
Umewasahau wapiga majungu...
Wadogo zako Mtei na Bagah

...akuchuke weye walau ukapate misamiati michache ya kuzungumza na bi dada amy...maana iyo mama anapaa nairobi siku si nyingi...sasa akirudi,aibu yako braza!
 
Mbona hivyo bagah mwantia hasira kumchukua Amyner shemeji yangu
Yan shem unafikiri hawa Bagah na Mtei wananiweza mimi?
Bado watoto wadogo kwa kila kitu labda umri tu....Mimi sioni mwingine kama Erick..nampenda yeye tu na Sitamuacha kamwe...I love you my dia Erick....
Mwaaaaaaaah
Mh mimi hapo sitii neno jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…