Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Kumbe na wewe eeeh? Mimi naona abaki tu Uporoto... Sijui mpwa wangu huy kakosa nini ambacho akisameheki....lol
Mkuu mimi nilikuwa nakula nashiba wakati huo sasa kama alikuwa ashadii au husninyo watajijua wenyewe lol!mmmh! Uporoto aliliwa
Kumbe na wewe eeeh? Mimi naona abaki tu Uporoto... Sijui mpwa wangu huy kakosa nini ambacho akisameheki....lol
Nasikitishwa sana na kauli za kumchafua Husninyo nazozisoma hapa,napenda kuwajulisha kuwa tumeachana kwa amani na Husninyo sio mapepe wala hana sifa mbaya zote mnazoziorodhesha hapa na muda wote niliyokuwa nae alikuwa na mapenzi ya dhati kwangu.Nawatakia kila la heri na judgement wake,judgement hana kosa kaona nafasi na kuchukua uamuzi wa haraka kama mwanaume rlijali na inawezekana mnaotoa maneno machafu mnachelea kupigwa bao jaribuni sehemu ingine mbona wako wengi tu humu ndani kuweni wabunifu tu.
Mkuu mimi nilikuwa nakula nashiba wakati huo sasa kama alikuwa ashadii au husninyo watajijua wenyewe lol!
bora umewapanda mapande yao hasa huyo mtei na erick.
Mimi hapana Ashadii....
Si unajua mimi ni mkwe wako kwa amyner???
Ila uporoto kaniudhi sana....nilipenda penzi lao lidumu ila Iporoto kaniangusha sana
Kumbe na wewe eeeh? Mimi naona abaki tu Uporoto... Sijui mpwa wangu huy kakosa nini ambacho akisameheki....lol
Ooh wifi, nimeingiwa na huzuni ya ghafla hapa. Nimepata simu mbaya mida hii kuwa rafiki kipenzi anaumwa na khali yake ni mbaya sana, hawezi hata kuongea....ameumwa ghafla eti amepata kajeraha kwenye kidole gumba jana na leo mkono umeparalaizi...na kufunga kauli...daaah.... Furaha yote imeyeyuka..... Nimeshtuka sana wifi angu...Hata mimi nimeliona hilo... Sijua alitaka kumaanisha nini?? lol
Na mie wa afya wifi yangu... bora umenitonya kuhusu huyu jamaa....
Oparesheni Saidia Husninyo (OSHU) haina budi kuanzshwa ili ndoa yake na Uporoto iendelee.
Mkuu mimi nilikuwa nakula nashiba wakati huo sasa kama alikuwa ashadii au husninyo watajijua wenyewe lol!
Oparesheni Saidia Husninyo (OSHU) haina budi kuanzshwa ili ndoa yake na Uporoto iendelee.
bora umewapanda mapande yao hasa huyo mtei na erick.
aunty! Mkweo judgement huyo, umpende na kumuheshimu. Ya uporoto yashapita.
Hivi jamani mwaka huu mbona ndoa zimeshamiri saana? Wewe na Amyner sio tetesi tena? Tayari COMFIRMED?? Dah!! lol
Ooh wifi, nimeingiwa na huzuni ya ghafla hapa. Nimepata simu mbaya mida hii kuwa rafiki kipenzi anaumwa na khali yake ni mbaya sana, hawezi hata kuongea....ameumwa ghafla eti amepata kajeraha kwenye kidole gumba jana na leo mkono umeparalaizi...na kufunga kauli...daaah.... Furaha yote imeyeyuka..... Nimeshtuka sana wifi angu...
Najisikia kulia jamani, wacha nilog off kwa mda nifanye maombi kwaajili yake!

ishia hapo hapo kabla sijakutindikali.
Mimi nimenawa mikono.... Inaonesha woote wameridhia kabisa... Huwezi kukimbiza upepo ujue??
Hebu msome Husny hapa chini...
Dah!! Haya bana.... Judgement ana GXmia?? Si wamjua cousin wako Golden Mpolee alivo? lol
Hakusema kuwa hanitaki, hakubsha kuwa nlikuwa naye, aliahd ataniletea movie. We c ulikwepo?
Wahenga walisema
fimbo ya mbali haiui nyoka, asyekwepo machoni na moyoni hayupo.
We baki Arusha tu. Huku dar mi nala kwa raha zangu. Nimeipenda companion ya Amyner mchana wa leo.