Lol we endelea kuota...Hata mi nimemkubali jamaa. Yuko juu sana.
Nami nipo humu mteioneandamyner@mapenzimatamunayakwel.com.
Vipi hii ?? Ashadii = Husinyo ? niliuziwa mbuzi kwenye gunia ???
Vipi hii ?? Ashadii = Husinyo ? niliuziwa mbuzi kwenye gunia ???
Husninyo? Ashadii? Keleuwii
Kuna kitu hapo katikati. Ashadii and Husninyo
We si ulikuwa kilaza ukaingizwa mjini na wadada....lol unatia aibuVipi hii ?? Ashadii = Husinyo ? niliuziwa mbuzi kwenye gunia ???
Lol we endelea kuota...
Si ilimwona mtoto alivyosema alipokuja??
Mtoto kwa Erick kafika mazimaaaaaa
mmmh! Mtei acha kushadadia....lol... Husny ni Mpwa wangu upande wa baba watoto..... hahaha....
We si ulikuwa kilaza ukaingizwa mjini na wadada....lol unatia aibu
Wifi achana na M'one manake hutamuweza, anapenda majungu sana inamana hajui kuwa wewe ni aunt yake husninyo?mmmh! Mtei acha kushadadia....lol... Husny ni Mpwa wangu upande wa baba watoto..... hahaha....
We si ulikuwa kilaza ukaingizwa mjini na wadada....lol unatia aibu
Wifi achana na M'one manake hutamuweza, anapenda majungu sana inamana hajui kuwa wewe ni aunt yake husninyo?
Mie mzima wifi sijui wewe.
mmmh! Mtei acha kushadadia....lol... Husny ni Mpwa wangu upande wa baba watoto..... hahaha....
Erick taratibu.... mbona matusi juu? au wewe pia uko in love na Husny? lol...
Wifi achana na M'one manake hutamuweza, anapenda majungu sana inamana hajui kuwa wewe ni aunt yake husninyo?
Mie mzima wifi sijui wewe.
Hebu nieleweshe tuone.... lol
Ashadii hata mimi sikutaka waoane hadi Uporoto aje atoe kauli yake....
Mimi hapana Ashadii....Erick taratibu.... mbona matusi juu? au wewe pia uko in love na Husny? lol...
Hata mimi nimeliona hilo... Sijua alitaka kumaanisha nini?? lol
Na mie wa afya wifi yangu... bora umenitonya kuhusu huyu jamaa....
Kongosho nadhani hii ndo habari iliyoleta raha kuliko zote kwa leo...duh
umeona uporoto anakopatikana??