Khaaa, ulikuwa wapi? Mie na wifi angu Canta tunacheza ngoma peke yetu toka asubuhi, haya kavae dera na wewe ukuje hapa!Judgement na husny hongereni saaana! Katika mipango ya harusi msinisahau kwenye kamati!
HuyoooooooooiJudgement na husny hongereni saaana! Katika mipango ya harusi msinisahau kwenye kamati!
Judgement na husny hongereni saaana! Katika mipango ya harusi msinisahau kwenye kamati!
Mashauzi yashaanza, tutakoma leo...Huyoooooooooi
mwaaaaaaaa
Ngoja kwanza nimsalimie mbona una haraka??Khaaa, ulikuwa wapi? Mie na wifi angu Canta tunacheza ngoma peke yetu toka asubuhi, haya kavae dera na wewe ukuje hapa!
Huyoooooooooi
mwaaaaaaaa
Ngoja kwanza nimsalimie mbona una haraka??
Wifi ukipitiwa na kausingizi uniote lol.
Mashauzi yashaanza, tutakoma leo...
Hakuna cha rafiki hapo,mtu mwenyewe kakaa macho kodo kuvizia wake za watu!ngoja nimdip Amy nijue usalama wake maana!
Amyner nakupendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Husny ni kaz yangu toka long tym
Khaaa, ulikuwa wapi? Mie na wifi angu Canta tunacheza ngoma peke yetu toka asubuhi, haya kavae dera na wewe ukuje hapa!
Sijatishika !
Sitishiki !
Sitotishika !
Na vijineno vya type hii , type ya Buguruni malapa. Ndo- kwanza unampandisha chati mtoto Husniy !
Mtoto mambo yote super !
Mtoto makila-kitu! Pole weee!
Utaunga coperwire malapa kwa kuzungusha majungu !
Mie na Husny haooo Mafya na Zanzibar one wik tour , kula mwezi wa asali .
Huyoooooooooi
mwaaaaaaaa
Shost ngoja nikavae dera na skin tyt nahisi ngoma ya leo itakesha... Halafu SL hupatikani kwenye cmu mbona? Au nitty amekubana?
Amyner nakupendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Judgement na husny hongereni saaana! Katika mipango ya harusi msinisahau kwenye kamati!