Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Bora wifi angu unisaidie kumwambia manake kazidi, anapenda kweli kumsimanga husband, atasababisha mwenzie ajing'ate wakati yupo ibadani khaaa, atasutwa kweli jamani...
Mke wa mtu sumu kaka, usijesema sijakuonya!
Chezeiya chalii ya arachuga Erick eeh?
Zimefika my wii,mwambien huyo eric acmwamin sn mtei maana......!
huyu mtei natamani nimwaky
ndio madudu gani hayo mtoto wa kiswahili, majungu laki 9.
Usijali swahiba, tindikali bado ipo mpaka jua lizame atakuwa keshapata habari yake...
Teh teh nimekoma...ngoja niendelee kumtafuta kipenzi changuWewe nawe utakuja kusutwa,ndoa za watu zinakuhusu nn wakati mpaka mda hujui mkeo yuko wapi?mtafute Amy bwana jpili hii umpeleke japo bichi!
...hodi!
Jg your highness!
project unayotaka kuifanya kidogo inataka kufanana na yakwangu kwa Amy...so ntadesa kidogo...pokea kura yangu ya ndio your majesty!
Amy nipo naye somewhere. Erick atajbeba mwaka huu. Mi naendleza ndondo kama kawa kama dawa.
Teh teh nimekoma...ngoja niendelee kumtafuta kipenzi changu
Na kwa mwanaume kusutwa inakaribia kuwa suna....Bora wifi angu unisaidie kumwambia manake kazidi, anapenda kweli kumsimanga husband, atasababisha mwenzie ajing'ate wakati yupo ibadani khaaa, atasutwa kweli jamani...
Wewe nawe unatafuta kuolewa maana unajidai bingwa wa wake za watu,c utafute wako?
Yan kashapalia utafikiri ndio afisa habari wa ndoa yenu lol!amuache shem wangu asali kwa aman lol!akiendelea nitamkia na mavuvuzela tumsute lol!
Nishamwambia ila naona hajanielewa, mwache alizwe ndio atajua maana ya rafiki mkia wa fisi....
Hahahahaaa. Kidogo nipaliwe Erick , daaa eti inakaribia kuwa suna..lol.Na kwa mwanaume kusutwa inakaribia kuwa suna....
Lol
Wewe nawe unatafuta kuolewa maana unajidai bingwa wa wake za watu,c utafute wako?
Hahahaha! Jamani kodo kodo lol. Wifi ushausikia huo wimbo?Hakuna cha rafiki hapo,mtu mwenyewe kakaa macho kodo kuvizia wake za watu!ngoja nimdip Amy nijue usalama wake maana!
HahaaaahaaaaaHahahahaaa. Kidogo nipaliwe Erick , daaa eti inakaribia kuwa suna..lol.
Duh, bado huu uzi upo alive..
Canta my wife, its time ya kurest!
Mwachie wifi yako Sweetlady huu uzi aendelee nao!