Husninyo Pokea Proposal

hehehe!kwa raha zetu babu,ace na mwana aeleke jiwe!ina huu!mfate Amy labda nae ana kipele cha kuwasha umkune lol!
Kipele hana coz asbh nimemkunaaaaa siunajua mi mzee wa shughuli...
ila nimemmiss aisee
 
Hakuna harusi mpaka Uporoto akom fem kuwa we c mke wake

mbona unamtetea sana? Hujaona alivyonibwaga live bila chenga. JG kaniambia uporoto kamwaga ugali mi nimwage dagaa. Kwa raha zetu.
 
Mbona proposal limechakachuliwa hivi!! Naomba summary.

Oooh ! Mpenzi waache wachakachue , mi nafikiri tutoke tupumzike , tukitafakari kuzinduana ! Ungependa tuzinduane lini ? Uwanja wako Mammiy , hapahitajiki Pm hapa , mambo hadhara wasikie vizuri , hasa wale wakodoamijichijo.
 
Oooh ! Mpenzi waache wachakachue , mi nafikiri tutoke tupumzike , tukitafakari kuzinduana ! Ungependa tuzinduane lini ? Uwanja wako Mammiy , hapahitajiki Pm hapa , mambo hadhara wasikie vizuri , hasa wale wakodoamijichijo.

mpenzi tangu nimekuwa na wewe najihisi kushiba hata kama sijala. Ngoja wageni waondoke na watoto walale tuanze uzinduzi.
 
Mwaaaaaaa to You switie wifi,...nawasubiri kwa hamu sana...


Shemejio mzima wa afya, bado yupo kanisani ndio mana hajakuja kwenye hii shughuli.... Mie leo nimesali misa ya kwanza wifi...

Mie wishing you and my bro Rejao all the best....

Thx my darling wifi nafurahi kwan umegundua namna nilivo mapnzn na ndugu wa mme wangu!shem wangu akija mpe hai,ce tunasogeza mda tutaenda ibada ya ucku lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…