Husninyo Pokea Proposal

Salamu zilifika...
Ndio nimeingia humu naona mmechangamka sana.....
Dah siunajua Husny anataka kupata jiko jipya wakati bado la zamani hajaliachia....
Hivi hujamwona Uporoto kokote tumpe hizi habari?
Akisikia Husny anaolewa atakufa kwa pressure
 
We mi nimeoa ila nlikupa napga ndondo kwa Husninyo na alikuwa ananikosha. Ctak aolewe na JG coz hatakuwa huru kuja kwangu kwa ajili ya out work. C unajua jnc JG anabana?

Hehehe,smal hauc tupa kule,utajibebaje mwaka huu!ndio anaolewa ivo labda ukaombe kuwa mme mdogo kwa kongosho lol!
 
Nipo kaka Rejao, nimejaa tele. Naona siku hizi wife kakukataza kusalimia hata dada zako...
Kwema kaka?
cata hawezi nizuia kabisa....ndio maana namuona muda wote yupo nanyi wifi zake!
Tunamalizia hani mun then tunaenda kwa Rafaeli!!
 
Hehehe,smal hauc tupa kule,utajibebaje mwaka huu!ndio anaolewa ivo labda ukaombe kuwa mme mdogo kwa kongosho lol!

Husny ameni hakikishia kuwa outwork ztaendlea kuwepo.
Pia Amyner naye ameshaeleweka. Ndondo kama kawa.. Au na wewe unataka?
 
Unajua nini kaka, ngoja nikunong'oneze ila usimwambie mtu. Namzimia sana Husninyo ila sasa nashangaa wenzangu wanamchukua kiulaiini, sasa iliyobaki ni kupiga majungu tu...tehe!
 
Ina maana unataka kusema kuwa Mtei analeta fitina kwa sababu ya wivu?
Yan na yeye anamtaka Husny?
Mh hapo mi simooooo!

Sio wote wanaolia msiban wanamlilia marehem wengine wanamdai alafu hawakuandikishana naye,hahahaha!
 
Hahahahaaha, umeamua kuanza beef na Uporoto? lol
 
Dah siunajua Husny anataka kupata jiko jipya wakati bado la zamani hajaliachia....
Hivi hujamwona Uporoto kokote tumpe hizi habari?
Akisikia Husny anaolewa atakufa kwa pressure
Halafu yule anatembea na AK 47 kama ya Malima....Namuonea huruma sana Judgement!
Kuna Kloro pia...naye naona bado hajapata hizi taarifa!!
 
ucjali Erick. Mi napga ndondo tu. hapa amyner naye nafanya mpango wa ndondo.
Kwa Amy huwezi hata ufanyaje....
Hivi unamfananisha Amyner na Husny?
Lol yule ni HIGH LEVEL balaaaaaaaaa
Chunga sana aisee....
 
Sio wote wanaolia msiban wanamlilia marehem wengine wanamdai alafu hawakuandikishana naye,hahahaha!

Majungu hayo. Kuna vi2 nlikuwa navpata kwa Husny sasa akienda kwa mkamiaji JG nadhani ntakuwa cvpat vle vtu kiulaini.
 
Halafu yule anatembea na AK 47 kama ya Malima....Namuonea huruma sana Judgement!
Kuna Kloro pia...naye naona bado hajapata hizi taarifa!!
Yan wakipiga colabo...vita yake sijui nani ataituliza....
Akina Kongosho na wenzake wanaotaka aolewe na JG itakula kwao wotee ila mkeo sijui msimami wake hadi sasa
 
Kwa Amy huwezi hata ufanyaje....
Hivi unamfananisha Amyner na Husny?
Lol yule ni HIGH LEVEL balaaaaaaaaa
Chunga sana aisee....

Amyner ndo level zangu. Hawa wengne huwa najaribu 2. Pale lazma kieleweke.
 
teh teh teh. tafadhal nakuomba Ucje ukanivurugia utaratbu wangu wa ndondo.

Tehe tehe....hapa majungu lazima nilidhani nitakuwa wa kwanza kupiga ndondo kumbe mwenzangu umeanza muda mrefu. Sikubali lazima nikuharibie!
 
Mmh wewe..! Ulikuwa unafanya nini mke wa Rejao? Utatolewa macho, humjui Rejao ....
Katavi, usiwe na wasi..Erick nimempa kazi ya kunilindia Canta...
Akiharibu tu ndio atamfahamu rejao vizuri...
 
Hehehe!unalo babu,utaishia kuja kuokoteza huku mwenzio rejao keshaniweka ndan anajilia kwa raha zake!naona yamekushinda kwa JG keshaubeba mzigo unataka hacra zako zihamie kwetu lol,ngoja nimlishe rejao wangu cha mchana lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…