Husiniondolee Mood & Husinipe Ugali

Husiniondolee Mood & Husinipe Ugali

Soma ufungue ubongo.... Acha uvivu
Unaweza kumfungua mtu ubongo wakati kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili huwezi? Shule ulienda kufanya nini? Kweli unasoma darasa la kwanza mpaka la saba na ukimaliza huwezi kuandika kiswahili sahihi? ''Husiondolee'' na ''husinipe'' ndiyo madudu gani? Pumbafu kabisa.
 
Unaweza kumfungua mtu ubongo wakati kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili huwezi? Shule ulienda kufanya nini? Kweli unasoma darasa la kwanza mpaka la saba na ukimaliza huwezi kuandika kiswahili sahihi? ''Husiondolee'' na ''husinipe'' ndiyo madudu gani? Pumbafu kabisa.
Hiyo kuhusu kuandika kiswahili fasaha sio kazi yako, na mimi hapa siko kwenye interview ya ualimu wa somo la Kiswahili... Unachotakiwa ni kuelewa ujumbe tu, hayo mengine niachie mimi muhusika. Usibebe mzigo usiokuhusu
 
Unakula ugali! Chakula ambacho mwilini mwako hakiongezi chochote kile. Tunadanganyana kuutetea ugali kwamba unaongeza nguvu! Nguvu gani ugali umewahi kuongeza? Ugali unaongeza nini mwilini mwako? Unajaza tumbo ila baadaye ukipimwa unaonekana mwili wako haukuwa na chakula.

Majuzi wakati nakula chipsi banda la mpira, jamaa akaniambia nile ugali. Nikamwambia kwa nini nile ugali? Akasema ili niwe na nguvu. Nikamwambia tukimchukua mla ugali, mchezaji wa Kitanzania na tukamuweka na Halaand mla chipsi mayai nani atakuwa na nguvu?

Tunautetea sana ugali, chakula ambacho hakiliwi kwa wenzetu kwa kuwa wanajua hakiongezi chochote mwilini. Chakula ambacho hata kwa Kiingereza kinabaki hivyohivyo, ugali.

Bro! Tafuta pesa, ugali ni chakula cha kula kwa hamu tu na si kuwa kwenye ratiba. Ule ugali ukiwa na hamu na si kiwe kwenye ratiba. Utafiti wa chuo kimoja Kenya nadhani kiligundua matatizo mengi ya Kiafrika akilini yanatokana na ulaji mkubwa wa ugali, akili haipati nguvu.
1696514778568.png
 
Back
Top Bottom