HUSIMWAMBIE MKE WAKO SIRI "Tafadhari mwanaume" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HUSIMWAMBIE MKE WAKO SIRI "Tafadhari mwanaume"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Wa Rubisi, Mar 26, 2011.

 1. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,752
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  [FONT=&quot]HUSIMWAMBIE MKE WAKO SIRI YAKO.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Hilitokea siku moja wakati Mr Martin na mke wake Joyce[/FONT]
  [FONT=&quot]Wakiwa wamekaa kweneye kiambaza cha nyumba yao huku wakibanika kuku.[/FONT]
  [FONT=&quot]Ndege aina ya KUNGURU akaruka pale kudonoa kuku.[/FONT]
  [FONT=&quot]MrMartin akarusha jiwe,bahati mbaya likamkosa kunguru na kumfikia mtoto wa Jirani yao na kumpika vibaya uso na kudondoka na kufarili.[/FONT]
  [FONT=&quot]Nini kilitokea basi,[/FONT]
  [FONT=&quot]Mr Martin na mke wakshauriana nini kifanyike kwani haku aliyewaona wanaua mtoto yule ya jirani.[/FONT]
  [FONT=&quot]Mr martini akamshauri mke wake hiwe SIRI,[/FONT]
  [FONT=&quot]Wakamzika mtoto yule ndani ya nyumba yao tena chumbani kwao/[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Majirani walitafuta mtoto wao bila ya mafanikio kwa muda miezi mitatu.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]MrMATINI [/FONT][FONT=&quot]tukio hilo lilimsumbua sana kichwani mwakeÂ’[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Yapita mwaka tangu tukio hilo la mauwaji kufanayika.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Mr martini akamfuata rafiki yake Mr Edward na kumweza kisa chochote.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Mr EDWARD[/FONT][FONT=&quot] akasema kama mke wako anajua siyo siri tena itabainika na utafungwa kwa mauwaji.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Mr EDWARD[/FONT][FONT=&quot] akatoa ushauri kwa rafiki yake, NAKUSHARI kamwandalie mkeo safari ya kwenda kwao kuwaona wazazi wake mnunulie zawadi na vitu vizuri mwambie akae mwezi mmoja awasaidie kazi.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Kweli mr MARTIN alitekeleza ushauri wa rafiki yake.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Mr MARTIN[/FONT][FONT=&quot] akamfuata rafiki yake na kumweleza katekeleza ushauri wake na mke amesafiri.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Mr Edward[/FONT][FONT=&quot] akamwambia rafiki yake wakatafuta MBWA MDOGO NA KUMUUA NA KWENDA NDANI WALIPOMZIKA MTOTO YULE NA KUITOA MAITI YA KITOTO KILE NA KUZIKA MBWA.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Wakaenda polini na kumzika mtoto yule.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Mke wa Mr MARTIN ALIREJEA TOKA SAFARI.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Maisha yalikwenda kama kawaida na baadaya miaka MIWILI mr martini na mke wake wakakosana tena ugomvi mkubwa sana ,[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]MKE WAKE AKAKIMBILA KWA MAJIRANI KUOMBA MSAADA akisema mme wake anataka kumuua kama alivyoua mtoto wa jirani.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]MAJIRANI KUSIKIA IVYO WAKAENDA POLISI ,polisi walifika na kuanza msako ndani ya nyumba ya MR MARTIN.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Polisi walifukua na kukutana na mzoga wa mbwa mdogo.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Mwanake akawa atihani kwa kusema uhongo.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]MR martin alijitetea kuwa nizindiko la nyumba na biashara yake.[/FONT]
  [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]MKE AKAENDA JERA KWA KUATARISHA AMANI MTAA HULE.[/FONT]
  [FONT=&quot]Mr Edward akamfuata rafiki yake wakumbuka nikuambia mwanamke aambiwi siri ya mwanaume.[/FONT]
  [FONT=&quot]BY MZEE WA RUBISI[/FONT]
   
 2. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,752
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Je umewai kumwambia mke wako SIRI ya aina yoyote.?
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hahahaha,dah bonge ya hadithi ila kuswahili hicho sasa duh!
  Very nice
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,558
  Likes Received: 14,969
  Trophy Points: 280
  toa hiyo H kiswahili umesoma wapi wewe?
   
 5. S

  Strategizt Senior Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 175
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mzee wa rubisi umenichekesha na stori yako ila kuna ka ukweli hapo.... mh!
   
 6. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,752
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Hii imepelekea wanawake wengi awajui mme wake anafanya kazi gani.
   
 7. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Hapo naona kibaya ni kumwambia mkeo madhambi yako. Sisi wanawake hatuna vifua vya kutunza siri. Na tukijua madhambi ya wanaume zetu ndio tunayatumia madhambi yao kama silaha za kuwaangamiza tunapo gombana, na pia tunayatumia madhambi yao hayo kuwanyanyasa.
   
 8. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,752
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Je kama umeolewa wajuwa mme anafanya kazi ngani au kipato chake kinatokana na malipo alisi.
  Je kama ujaolewa wamjua kwa udani mpezi wako anjugulika na nini hapa town.?
   
 9. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,564
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kweli wengi wetu tuko hivyo ila wachache pia tumebarikiwa vifua kama vya robot
   
 10. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,752
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Wawekuta mwanaume ni mwizi Jambazi anasafiki kwenda mikoani kufanya UJAMBAZI lakini mke wake ajui mme wake anasafiri kwenda wapi.?
   
 11. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mbona huyo kachelewa kuitoa mpaka kagombana? mie ningeanzia kwa shostito kesho yake tu,lol
   
 12. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,752
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Ndoo maana Jamaa kamuwai kumsafirisha kwao
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  'ii adisi' yako ilishaletwa hapa!Na ntarudia kuuliza swali nlilouliza then..na huyo rafiki akigombana nae itakuaje?
   
 14. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,752
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Ni mala ya pili naileta.
  Mr Martin TAYARI NA PALE WALIPOZIKA MAITI YA KITOTO kaenda mwenye na kuzika kenge na kuiamisha maiti hile na kuizika kwingine.Anaishi maisha bila hofu ya rafiki yake.
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,272
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Tafadhali sana rekebisha maneno yako hapo juu, sio "Hu" ni "U"
  Huwa nakereka saaana kuona sehemu inayotakiwa kuwekwa sauti "H" watu hawaweki na pale ambapo sauti hiyo haitakiwa ndipo hapo mtu anaiweka. Mfano; badala ya kusema Rais ( Kiongozi wa nchi) utamsikia akisema "Rahis" akimaanisha kiongozi wa nchi na pale neno hilo ambapo linakua ni Rahisi ( kitu kinachoweza kufanyika kwa wepesi) ndipo hukuta mtumiaji huyu akisema Raisi....aaah inatia kinyaaaaa.

  Haya, sitamwambia shemeji yako siri yangu, hata hii ya leo kuwa nimekukosoa sitamwambia pia, umesikia Mpwa
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kule kwa jirani zetu hawawezi kuongea bila kuunganisha irabu na H,...
   
 17. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Inabidi pale akaweke mbwa mwingine tana na ahamishe mifupa ya yule mtoto,siri ni ya mmoja siku zote
   
 18. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Mzee Wa Rubisi, kuna wanawake majasiri (halafu warembo kwelikweli) wanatunza siri za waume/wapenzi wao! Mijambazi itumiayo silaha za kivita husalimisha zana hizo (pamoja na mafao ya kazi) baada ya wizi ili mamsapu asunde mahali salama!
   
 19. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Alifanya jambo la mbolea sana
   
 20. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,515
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  tukupe mji
   
Loading...