HUSIMWAMBIE MKE WAKO SIRI "Tafadhari mwanaume"

1.mweleze mkeo kila kitu,unamficha nini?usimfiche kitu chochote.
2.yeye ni wewe na wewe ni yeye.mpe ukweli wa kila kitu.
 
HUSIMWAMBIE MKE WAKO SIRI YAKO.

Hilitokea siku moja wakati Mr Martin na mke wake Joyce
Wakiwa wamekaa kweneye kiambaza cha nyumba yao huku wakibanika kuku.
Ndege aina ya KUNGURU akaruka pale kudonoa kuku.
MrMartin akarusha jiwe,bahati mbaya likamkosa kunguru na kumfikia mtoto wa Jirani yao na kumpika vibaya uso na kudondoka na kufarili.
Nini kilitokea basi,
Mr Martin na mke wakshauriana nini kifanyike kwani haku aliyewaona wanaua mtoto yule ya jirani.
Mr martini akamshauri mke wake hiwe SIRI,
Wakamzika mtoto yule ndani ya nyumba yao tena chumbani kwao/
- Majirani walitafuta mtoto wao bila ya mafanikio kwa muda miezi mitatu.
- MrMATINI tukio hilo lilimsumbua sana kichwani mwake’
- Yapita mwaka tangu tukio hilo la mauwaji kufanayika.
- Mr martini akamfuata rafiki yake Mr Edward na kumweza kisa chochote.
- Mr EDWARD akasema kama mke wako anajua siyo siri tena itabainika na utafungwa kwa mauwaji.
- Mr EDWARD akatoa ushauri kwa rafiki yake, NAKUSHARI kamwandalie mkeo safari ya kwenda kwao kuwaona wazazi wake mnunulie zawadi na vitu vizuri mwambie akae mwezi mmoja awasaidie kazi.
- Kweli mr MARTIN alitekeleza ushauri wa rafiki yake.
- Mr MARTIN akamfuata rafiki yake na kumweleza katekeleza ushauri wake na mke amesafiri.
- Mr Edward akamwambia rafiki yake wakatafuta MBWA MDOGO NA KUMUUA NA KWENDA NDANI WALIPOMZIKA MTOTO YULE NA KUITOA MAITI YA KITOTO KILE NA KUZIKA MBWA.
- Wakaenda polini na kumzika mtoto yule.
- Mke wa Mr MARTIN ALIREJEA TOKA SAFARI.
- Maisha yalikwenda kama kawaida na baadaya miaka MIWILI mr martini na mke wake wakakosana tena ugomvi mkubwa sana ,
- MKE WAKE AKAKIMBILA KWA MAJIRANI KUOMBA MSAADA akisema mme wake anataka kumuua kama alivyoua mtoto wa jirani.
- MAJIRANI KUSIKIA IVYO WAKAENDA POLISI ,polisi walifika na kuanza msako ndani ya nyumba ya MR MARTIN.
- Polisi walifukua na kukutana na mzoga wa mbwa mdogo.
- Mwanake akawa atihani kwa kusema uhongo.
- MR martin alijitetea kuwa nizindiko la nyumba na biashara yake.
- MKE AKAENDA JERA KWA KUATARISHA AMANI MTAA HULE.
Mr Edward akamfuata rafiki yake wakumbuka nikuambia mwanamke aambiwi siri ya mwanaume.
BY MZEE WA RUBISI

siri ni nin?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom