Husband Day Care Centre

Husband Day Care Centre

mwambojoke

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
1,097
Reaction score
655
Nataka kuanzisha hii biashara TZ sijui ntafanikiwa.

267952_556371454396749_1622275250_n.jpg
 
utafanikiwa sana wanapenda kupetiwa hao,tena ukiweka na ile huduma ya kimboka ndo basi tena utamfikia Bakhresa haraka sana.
 
utafanikiwa sana wanapenda kupetiwa hao,tena ukiweka na ile huduma ya kimboka ndo basi tena utamfikia Bakhresa haraka sana.

Tee...teh! Duh! Ina maana atatajirika? Kila raheli ktk biashara yake.
 
Ni kweli utafanikiwa maana wanawake wenzako wanadivision zero ya ku-care ndo maana mambo hayaendi vizuri ndoani.
 
Na kwa mimi mwenye gelo frendi sita naweza kuja?
 
utafanikiwa sana wanapenda kupetiwa hao,tena ukiweka na ile huduma ya kimboka ndo basi tena utamfikia Bakhresa haraka sana.

Vipi wewe unaweza kumpeleka mume wako huko kama unaye ama utakuwanaye?
 
Back
Top Bottom