John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,342
Unamkumbuka uliyempa papuchi yako kwa mara ya kwanza?
Bro ile kitu hainaga makombo.
Unamkumbuka uliyempa papuchi yako kwa mara ya kwanza?
Ahahaaaaaa, kumbe ka umri kako kameenda eeh?!!Hahahhahahhahahhaha changamkia fulsa hiyo mkuu hakuna cha used hapo, hiyo ni brand new used.
Hiyo fulsa nimeikosa umri huu bora niurudishe nyuma nipate hii fulsa nami
Yule dada wa Pm zake zimejaa kaharibia Wengi... Ila km ndo umerudi kwa ID nyingine poleeee
very nice...hii wana JF
Mie ndo mara ya kwanza kupost hapa ila si mgeni wa kusoma post humu jamii forum. nafahamu huku kwenyesocial media waliomo humu, ndio waliokomitaani hivyo nimeona nijitokeze katika kutafuta mwenza wa maisha. Maombi yangukwa Mwenyezi Mungu ni kunipatia Mwenza bora atayenifaa.Hivyo tafadhariwanajamii forum atake ona anavigezo nayuko tayari na aliye serious tafadhari anipm. Mengine mengi tutajulishana tukifanikiwa kuelewana na mwenzamtarajiwa.
Sifa zangu
Mie ni mwanamke wa umri wa miaka kati ya 30-34, mrefu5: 10 mnene wa wastani mweusi
Nina mtoto mmoja
Elimu yangu niko chuonimwaka wa pili masomo ya jioni nilimaliza A level zamani ila nikaendelea na pilika za maisha mpakamwaka jana ndo nikaingia chuo kwa kujiendeleza zaidi.
Napenda kupika,kusoma vitabu kusikiliza music na kuhave fun na family na marafiki muda wa mapumziko
Sifa za mwanaume
Naomba awe na umri kuanzia miaka 36-48.
Awe na uelewa wa kutosha kwa maana ya maisha, mwenye kupenda kujiendeleza kamamfano ana elimu ya chini
Awe hana mtoto au akiwa nae mmoja au watoto mwisho wawili sitatizo
Kabila lolote rangi yoyote
Awe mrefu kiasi hata nikimzid kidogo si mbaya au akinizidi,, Hapa tafadhari msinielewe vibaya wala sio nabagua
ila jamani nitaonekana dada yake... haahaa im kidding..
Awe mchangamfu ,,ndani ya nyumba smile ziwepo.
NB : najua katika jamii kuna watu wa mtazamo tofauti..sitakuwa offended na comments za watu nitachukulia ni challenges tu .. maanahuwezi kupokea mtazamo positive tu hata mitazamo negative na ndio inanifanyaniprove watu kuwa walivyokuwa wanachukulia au kufikiria ni tofauti na nimefikakutoka point A to point B.
mawasiliano kwa PM au nitumie email zinty300@yahoo.co.uk
Karibuni waungwana.
NB : najua katika jamii kuna watu wa mtazamo tofauti..sitakuwa offended na comments za watu nitachukulia ni challenges tu. karibuni
Dada kama upo serious nitafute. Kuna mkaka mmoja anatafuta mke na yy. Ni ana kipato cha kawaida je utamkubali?hii wana JF

Kwani hili jukwaa linaitwaje, acha imani potofu mkuu waache wenzio watafute wenziAiseeee!!! mwanamke kukosa mwanaume wa kumtongoza ni aibu!! jichunguze kwanza utagundua makosa yako na kuyatafutia solution then wanaume watakuja wenyewe .Kwa kujitangaza huku media unapunguza personality yako .
Kwani hili jukwaa linaitwaje, acha imani potofu mkuu waache wenzio watafute wenzi
30, 31,32,33 au 34Kati ya 30-34 kwaio 32 ok
ni-PM tafadhari...hii wana JF
Mie ndo mara ya kwanza kupost hapa ila si mgeni wa kusoma post humu jamii forum. nafahamu huku kwenyesocial media waliomo humu, ndio waliokomitaani hivyo nimeona nijitokeze katika kutafuta mwenza wa maisha. Maombi yangukwa Mwenyezi Mungu ni kunipatia Mwenza bora atayenifaa.Hivyo tafadhariwanajamii forum atake ona anavigezo nayuko tayari na aliye serious tafadhari anipm. Mengine mengi tutajulishana tukifanikiwa kuelewana na mwenzamtarajiwa.
Sifa zangu
Mie ni mwanamke wa umri wa miaka kati ya 30-34, mrefu5: 10 mnene wa wastani mweusi
Nina mtoto mmoja
Elimu yangu niko chuonimwaka wa pili masomo ya jioni nilimaliza A level zamani ila nikaendelea na pilika za maisha mpakamwaka jana ndo nikaingia chuo kwa kujiendeleza zaidi.
Napenda kupika,kusoma vitabu kusikiliza music na kuhave fun na family na marafiki muda wa mapumziko
Sifa za mwanaume
Naomba awe na umri kuanzia miaka 36-48.
Awe na uelewa wa kutosha kwa maana ya maisha, mwenye kupenda kujiendeleza kamamfano ana elimu ya chini
Awe hana mtoto au akiwa nae mmoja au watoto mwisho wawili sitatizo
Kabila lolote rangi yoyote
Awe mrefu kiasi hata nikimzid kidogo si mbaya au akinizidi,, Hapa tafadhari msinielewe vibaya wala sio nabagua
ila jamani nitaonekana dada yake... haahaa im kidding..
Awe mchangamfu ,,ndani ya nyumba smile ziwepo.
NB : najua katika jamii kuna watu wa mtazamo tofauti..sitakuwa offended na comments za watu nitachukulia ni challenges tu .. maanahuwezi kupokea mtazamo positive tu hata mitazamo negative na ndio inanifanyaniprove watu kuwa walivyokuwa wanachukulia au kufikiria ni tofauti na nimefikakutoka point A to point B.
mawasiliano kwa PM au nitumie email zinty300@yahoo.co.uk
Karibuni waungwana.
NB : najua katika jamii kuna watu wa mtazamo tofauti..sitakuwa offended na comments za watu nitachukulia ni challenges tu. karibuni
hahahahah kwakweli jf inanikosha sana hahahaMbona upo dontown kitambo wewe mtafute baba wa mtoto muyamalize?