Huruma yangu inanimaliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huruma yangu inanimaliza

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Oct 11, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,323
  Trophy Points: 280
  Kuwa na huruma sana inaponza sana, kwa mfano wa karibu ni mimi. Unajua mimi ni mtu mwenye huruma sana, na hii inanikosti. Lakini bahati mbaya hiyo ndio tabia yangu, siwezi kubadilika. Unajua kwa mfano isingekuwa huruma yangu ya hali ya juu leo hii ningekuwa sinywi pombe kabisaaaa unaonaee. Lakini mara nyingi nikiwa na glasi ya mwisho ambayo huwa najisemea baada ya glasi hii sinywi tena, utaona huruma yangu inaanza kunisuta. Maana naanza kufikiria ni watu wangapi ambao maisha yao yanategemea wanywaji kama mimi kuendelea kunywa? Kuna wakulima wa ngano ambao ikiwa wanywaji wote tutaacha kunywa na wao watakosa kipato cha kuuza mazao yao kwa watengeneza pombe, maisha ya watoto wao itakuwaje? Haya baada ya hapo kuna hizi kampuni za kutengeneza pombe, tena siku hizi ukienda kwenye makampuni makubwa kuna wakurugenzi, wakurugenzi wasaidizi, kaimu wakurugenzi, mameneja, wahasibu , wahudumu wa ofisi, madreva, wafanyakazi viwandani, watu wa masoko, wenye baa, wahudumu wa baa, yaani nikiwaza kuacha pombe naanza kufikiria watoto wa hawa watu wote wananitegemea mimi, halafu kitendo cha kufanya ukatili mkubwa wa kuwanyima haki yao ya kuishi kwa ajili ya ubinafsi wangu tu kinanisuta sana? Tena siku hizi unakuta mpaka wasanii toka nje wanatakiwa kuja kuponea fedha zangu ili watoto wao waende shule, kwa kweli huruma yangu naona ni muhimu kuliko ubinafsi wangu. na hapo ndipo huwa naagiza nne mfululizo, sio kwa sababu napenda pombe jamani ni huruma kwa hawa wote ambao maisha yao hapa mjini yananitegemea umeonaee. Tujitahidi jamani ili kusaidia wenzetu
   
 2. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ulevi ni nooooooooooma! sijui ili tangazo limeishia wapi?
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Bujibuji bana lol

  Nimefungua upesi nikijua labda umetendwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,323
  Trophy Points: 280
  sweetlady, mnavyojua kushadadia maumivu ya watu....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Bujibuji leo umeamkaje?? kuna mtu kanionea mahali wake wenzangu Yummy, BADILI TABIA asali mwenyewe wa ODM Kongosho! jamani nasikia mume wetu kaoa mke mdogo kwenye familia ya madabida, cjui kama tutapona! tutete kidogo, lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  No mie nilitaka nikupe pole Bujibuji
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Huruma yenu ndio imewaponza!........vumilieni tu huyo mke mpya akichuja mume wenu atarudi kwenu
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,085
  Likes Received: 24,099
  Trophy Points: 280
  Huruma hiyo hiyo ulonayo Bujibuji nami nnayo. Nsipokuwa na huruma
  1. Watengeneza kondom watapataje ujira?
  2. Wahudumu wa gesti wataishije kwa kamshahara ka elfu 80 kwa mwezi nisipofanya mambo ya short time?
  3. Wafanyakazi wa kiwanda kinachotengeneza KY watatunzaje familia zao?

  Kuweni na huruma kama mimi na Bujibuji walimwengu wa chit chat.

  Narudi mapangoni torabora. Tafazali hakikisheni wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya umonita wa Kongosho hawasomi hii yuziful post.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,323
  Trophy Points: 280
  Asprin, andika maumivu,
  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,323
  Trophy Points: 280
  sweetlady, hivi hujui kuwa Mkono mtupu haulambwi, ukitaka kunipa pole njoo na unyumba pamoja na mabakuli mawili yaliyojaa upendo wa dhati
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,323
  Trophy Points: 280
  Wenye tangazo na wenyewe siku hizi wamekuwa WALEVI MBWA
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Hahahaha......nakutumia kwa PM sasa hivi
   
 14. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Dah!
  Nimefungua thread haraka!
  Nilidhani kuna mtu anahitaji msaada!
  Bujibuji,wakati unaandika hii thread ulikuwa hujalewa?
   
 15. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni kweli aliye lala usimwamshe ukimwamsha utalala wewe!
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ndo maana hajarudi nyumbani wiki ya tatu sasa? Walaaaahi huyo mke nitamuendea sumbawanga
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  tooooooba, mume wa ujana wangu, maneno gani hii nasungumsa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  napata uchungu.....
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Hahahaha........pole dia
   
 20. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  very funny, imefanya ijumaa yangu inukie vizuri, hasa ukizingatia kuwa boss wangu anasafiri
   
Loading...