Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Oct 11, 2012 #21 Ndiyo kusema wauza mwelo (ganja) nao wahurumiwe ? Na ile kitu anayouziwa Kitale pia tuwahurumie wanao uza huo mzigo ?
Ndiyo kusema wauza mwelo (ganja) nao wahurumiwe ? Na ile kitu anayouziwa Kitale pia tuwahurumie wanao uza huo mzigo ?
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,567 Oct 12, 2012 #22 kapistrano said: ulevi ni nooooooooooma! sijui ili tangazo limeishia wapi? Click to expand... kapistrano kumbe hujui tu kilichotokea? Makampuni ya bia yalileta noumer ile kinoumer then ikabidi tangazo lifutwe fasta. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kapistrano said: ulevi ni nooooooooooma! sijui ili tangazo limeishia wapi? Click to expand... kapistrano kumbe hujui tu kilichotokea? Makampuni ya bia yalileta noumer ile kinoumer then ikabidi tangazo lifutwe fasta.