Huruma ya nini? Magufuli katafuta matatizo mwenyewe

Is completely disconnected from the reality huyoo mzee mmhhh... Chuki kazianzisha mwenyewe naona sasa zina backfires kila kukicha.. Alafu excuse yake kubwa ni uzalendo.. Ni nani asiye kuwa na Upendo na nchi yake jamani eeehh???
Isipokuwa yeye tu!!

Nini kime backfire...,na bado miaka minane mbele... mtaongea vernacular zenu and the Guy wont listen
 
Uzi wako wengi wanaufungua na kuufunika..Bora mimi nimejitahidi nimecomment.
 
Let me be honesty with this, kwanini Wachagga wengi ukiwemo wewe nahisi kutokana na andiko lako mnashida kubwa sana na Magufuli. Nina rafiki zangu watatu wachagga hawajuani well educated, kila mmoja kwa wakati wake analalamika kuwa wachagga wanaonewa sana. Katika kukamatwa na kutiwa ndani, katika kuvunja nyumba za barabara ya Moro kuwa nyumba nyingi ni zao, wanalalamika pia kuwa wao hawachaguliwi Serikalini na hata hii ya kuwa Magufuli anachagua sana watu wa kutoka kwako ingawa inaukweli ndani yake lakini wengi ya wanaolalamika ni wachagga, sisi wengine ingawa tunaliona lakini tuna muono chanya kuwa sifa anaangalia ziadi kuliko ukanda. Ukiwemo na wewe mnadai kuwa watu wa kanda hiyo ya Moshi Arusha mnaonewa sana. Hivi hili linaukweli ndani yake jamani? Kuna utafiti wowote wa kisayansi unaonesha kuwa maamuzi mengi ya Magufuli yanawalenga wachagga? Natoa tangulizi kuwa hata mimi mke wangu ni wa Umbwe ila yeye kati ya wachagga niliowahi ongea nao yeye anapinga malalamiko hayo sio kwaajili mumuwe ni mimi bali anasema hakuna ushahidi wa waziwazi juu ya hilo. Ebu naombeni mnijuze juu ya hili
Upo tz kwel ww
 
Is completely disconnected from the reality huyoo mzee mmhhh... Chuki kazianzisha mwenyewe naona sasa zina backfires kila kukicha.. Alafu excuse yake kubwa ni uzalendo.. Ni nani asiye kuwa na Upendo na nchi yake jamani eeehh???
Isipokuwa yeye tu!!
Albadili mkuu imeanza kumtesa
 
Hivi kuna mtanzania atamchagua rais asiyezingatia misingi ya utawala wa sheria, haki na demokrasia? Huyu hawezi kurudi 2020. CCM mkimpitisha kwenye uchaguzi ndani ya chama chenu, mtajilaumu wenyewe kwani itakula kwenu mazimaaa.

Mkuu,hivi wafia chama cha kijani unawajua au unawasikia. Yaani ukishavaa hiyo minguo ya kijani,basi pepo la uhayawani litakutawala akili yako.Hata waumie vipi,huji sikia wameacha kumpigia kura tena uchaguzi ujao.

Poor Tanzania,I wish i could be non-Tanzanian.Period
 
Mbona hamna shukrani wa tz wenzangu?!!
Mh anatumia nguvu nyingi kuhakikisha rasilimali zetu zunarudi na wote tunafaidika.
Na kasema tunahitaji kuanza upya.
Na ni kweli sana kibinaadamu hakuna anaependa kukatiwa utamu
Hivyo inaelekea nyie wapigakelele ni wale mliokatiwa utamu! Vikao vya bodi Dubai na kujipandishia mshahara tu.
2020 Magu ndani ya mjengo tena hakuna ubabaishaji.
Sasahivi pesa haina njia nyingi BoT hadi kwenye mradi.
MTAPIGA KELELE ILA MWISHO WA YOTE MTAMSIFU KWA ALICHOKIDANYA SUBIRINI TU MUDA WAKE UISHE NDIPO MTAJUA THAMANI YAKE.
Labda weye na Bashite.
 
Naona kuna huruma huruma kama vile Raisi anaonewa. Ukweli ni kwamba ni Magufuli mwenyewe kajitakia haya matatizo pasipo ulazma.

Kuzuia wapinzania kufanya mikutano, kuzuia bunge kuenda live, watu kufa kufa kiajabu, wanasiasa kuwekwa ndani bila sababu ya maana, wanasiasa kupigwa risasi, visasi mpaka kwa mawakili kuvunjiwa maofisi an Manji anavyofanyiwa.., kubomolea watu nyumba kinyume na sheria... .

Kusema unapenda nchi halafu ukiletewa wala rushwa husemi lolote mpaka wawe maaduni wako.

Kusema hupendi vyeti feki wakati huohuo unaajiri watu wenye vyeti feki.

Kusema hapa kazi tu wakati unafanya mikutano ya CCM ikulu....

Wivu wa kikanda kuzuia Moshi kuwa jiji bila sababu ya kimsingi...

Hizi ndiyo sababu watu wanamatatizo na Magufuli. Hakuna Mtanzania asiyependa maendeleo lakini watu hawatampa raisi maisha yao kwa kisingizio cha uzalendo wakati hafuati hata anayosema mwenyewe
 
Very well said Kamundu
 
Mkuu hata mkewe hampendi ndiyo sababu akagoma kumfanyia kampeni. Atampendaje mtu anayemdunda kama ngoma mpaka kulazwa hospitali na kutembea na mdogo wake hadi kumpa ujauzito?

Kesha waambia hata msipo mpenda hajali maadam kesha pendwa na mkewe inatosha.
(Ila jee naye anampenda mkewe?)
 
Back
Top Bottom