Baada ya karibu miaka 10 ya maumivu, familia za waathiriwa wa jengo la Huruma hatimaye zimepata haki kidogo. A court in Nairobi has sentenced landlord Samuel Kamau Karanja to 7 years in prison, bila option ya kulipa fine.
Mahakama ilisema wazi this was not an accident. Ilikuwa ni negligence, greed na kupuuza sheria. Jengo lilijengwa kando ya mto (riparian land), bila approvals za NEMA na WARMA. Hii ni kitu wananchi wengi wanakumbana nayo kila siku majengo yanajengwa bila kufuata sheria.
Zaidi ya watu 52 walipoteza maisha mwaka 2016. Imagine familia zilipoteza wazazi, watoto, breadwinners… na kwa miaka yote hii hakuna justice.
Evidence ilionyesha hata cracks zilipoanza kuonekana, caretaker aliambiwa azibe na cement badala ya kuita mtaalam. Hii ni ile tabia ya “tutaangalia baadaye” ambayo ina-cost maisha ya watu.
Mwananchi wa kawaida anaumia sana kwa kesi kama hizi. Wengi wanaishi kwa nyumba za rent bila kujua kama ni safe. Swali ni: who is protecting tenants?
Hii ruling ni warning kwa landlords na developers wote fuata sheria ama ulipie makosa yako. Lakini pia ni wake-up call kwa serikali kuongeza inspections na kulinda maisha ya wananchi.
Je, hii justice imechelewa sana? Na ni majengo mangapi bado ni ticking time bomb Nairobi?
Source: Nairobi wire