Hureee!! Kumbe bado nipo humu....

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,923
Kuna waliotaka jana nipigwe BAN ya maisha mods wakaipotezea, wengine wakaniponda na maneno mabaya wakadhani nitaogopa nipotee humu, kudadadeki hatishwi mtu nyau hapa, weraaaaaaaaaa!!
Halafu leo cjui nitoke vp humu?
 
Hakyamungu we wa kusamehewa tu.
Dah mwanaume una mdomo balaa
 
Kuna waliotaka jana nipigwe BAN ya maisha mods wakaipotezea, wengine wakaniponda na maneno mabaya wakadhani nitaogopa nipotee humu, kudadadeki hatishwi mtu nyau hapa, weraaaaaaaaaa!!
Halafu leo cjui nitoke vp humu?

utoke vipi? katokee chooni
 
Kuna waliotaka jana nipigwe BAN ya maisha mods wakaipotezea, wengine wakaniponda na maneno mabaya wakadhani nitaogopa nipotee humu, kudadadeki hatishwi mtu nyau hapa, weraaaaaaaaaa!!
Halafu leo cjui nitoke vp humu?

usidhani mods walipotezea ila huwa wanaacha kukupa ban pale unapojua kosa na kuomba msamaha sasa we lwa ujinga wako ukaona umeshinda
 
Kuna waliotaka jana nipigwe BAN ya maisha mods wakaipotezea, wengine wakaniponda na maneno mabaya wakadhani nitaogopa nipotee humu, kudadadeki hatishwi mtu nyau hapa, weraaaaaaaaaa!!
Halafu leo cjui nitoke vp humu?
ilikuwaje mkuu?? tiririka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…