Hureee its Friday

Hureee its Friday

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
0f63cde15db4078f2831b790696e366c.jpg
 
Nashuka na mstari mmoja baada ya mwingine ila baada ya kutupiamo ile nyama pendwa.
 
Mkuu Mhe. Magu amebana sana mkwanja hivyo watu siku hizi hawatoki sana hom kwenda viwanja. Wanakaa sana nyumbani na kujifanya wanazipenda sana familia zao!
 
Mkuu Mhe. Magu amebana sana mkwanja hivyo watu siku hizi hawatoki sana hom kwenda viwanja. Wanakaa sana nyumbani na kujifanya wanazipenda sana familia zao!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tena imeangukiwa mwisho wa mwezi! Makoo yataburudishwa vizuri
Na uzuri ni kwamba siku hizi tunaheshimiana mitaani hata Heineken zimeshushwa bei na kuna kitu ya Ukawa
 
Back
Top Bottom