Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,094
- 93,059
Nmecheka hapo mwishon, , kuna baba mmoja alikua na mtoto anamiaka mitano, siku moja alifajiri baba akiwa amechelewa kuamka, alipoamka kwa dirishan akamuona mtoto wake mpendwa anachezea gar lake misili kama analikwaruza na chuma.Alijiuliza ..
Niachane na la-azizi wangu? ....jibu kalipata
Nimtimue dereve? .... jibu kalipata
Alipofanya mlinganyo ndo akaibuka na majibu yanayokutatanisha. ... hata huyu aliyekufuata PM hata mimi tayari natafakari la kufanya ...
Niachane na JF?
NIachane naye?
Majibu nikipata ... utaona mkuu
Yule baba alimwita mtoto, akaanza kumpiga, alimpigaa, alimpiga, hata akahakikisha vidole vya mikonon vimepata majaraha.
Majiran wakaingilia,nakumwokoa mtoto ambako alipelekwa hospital na ikaonekana lazima akatwe vidole vyote vya mkono wa Kulia
Huku nyumban , Baba akaamua kwenda kuona gar lake lilivyoumizwa, alipofika akakuta kuna maandishi ya Mkaa , alipojaribu kuyasoma akakuta yanasomeka ivi
[emoji117] * FATHER ,I LOVE YOU SO MUCH*.
NAHUJA