gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,025
Yes nw uko freshKweli umenimis mara mbilimbili duuuuhh... Simu iliponaga[emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes nw uko freshKweli umenimis mara mbilimbili duuuuhh... Simu iliponaga[emoji6]
Zmejaa tele mkuuMmmh kwani unazo [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Kumbe uko hapa wangu? unatafuta nini hapa? sitaki majibu ya ki-Eliza ... sema!😛😛😛😀😀😀
Duuuhhh haya bana, kwaiyo hata kuniulizia kwa watu ikashindikana? Japo salam tu.
Aaahhhh sawa sawa aisee kweli ilikua balaa..maana ulivyoukimya [emoji23][emoji23]kama sio wewe
😀😀😀😀😀😀😀😀Kumbe uko hapa wangu? unatafuta nini hapa? sitaki majibu ya ki-Eliza ... sema!
Yale unayohisi hayawezekani ndo yanawezekana kwa mwenye kutafakari.Story nyingine japo ni zakutungwa ila hata huwezi kuzifikirisha.
HAMNA WATU WENYE WIVU KWA MADEMU ZAO KAMA
[emoji117]Wenye mashine ndogo
[emoji117]Wenye matatizo ya nguvu zakiume .
Nakwakulijua hilo. Hawa ndio aina ya wanaume Wanaojali sana kiasi cha kupitiliza, kama nikuhonga wanahonga sanaaa, Ili mradi tu Huduma za kuhonga zifiche madhaifu yao.
Sasa Mtu ahudumie demu wakeeeee hata km hamrishishi alafu Achungulie ,akute analiwa, then anajiuliza maswali,alafu anarudinkulala. Then anaomba chupi. Sijui ainuse haaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]....... Hawa wakimfuma demu huwa ni vita juu ya vita!!
Ndo nini sasa? Hali ya hewa inaruhusu ... si kimvua kimepiga leo hapa ...Simiyu?😀😀😀😀😀😀😀😀
Kumbe hata hapo ulipo imenyesha!! Nilidhani ni mjini kati tu peke yakeNdo nini sasa? Hali ya hewa inaruhusu ... si kimvua kimepiga leo hapa ...Simiyu?
Aaahhh sawa mkuu wacha wenye kutafakari muendelee kutafakar nakuyafanya yaonekane yanawezekana[emoji119]Yale unayohisi hayawezekani ndo yanawezekana kwa mwenye kutafakari.
Kuna kitu nimekuuliza kwenye PM yako mkuu naomba unijibu. Ahsante in advanceAaahhh sawa mkuu wacha wenye kutafakari muendelee kutafakar nakuyafanya yaonekane yanawezekana[emoji119]
Alijiuliza ..Aaahhh sawa mkuu wacha wenye kutafakari muendelee kutafakar nakuyafanya yaonekane yanawezekana[emoji119]
Nmeona mkuu nam nmekupm km ulivyopm wewe!!Kuna kitu nimekuuliza kwenye PM yako mkuu naomba unijibu. Ahsante in advance
Ahsante na mimi nimekujibuNmeona mkuu nam nmekupm km ulivyopm wewe!!
Ushimen [emoji23] [emoji23]Kwajinsi nilivyo soma comments pekee, nimeamua nisiusome huu uzi kabisa......
Maana leo nimevaa suit na nimechomekea, yasije yakanikuta nikapatwa na aibu bure......
Utanijua leo!Ahsante na mimi nimekujibu