Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,444
- 62,826
Hao sio marafiki bali ni watu wa kampani tuHilo mbona liko wazi..ndomaana tunawaambia kataa ndoa kila siku oeni...kaeni na wake..hao ndo kidogo pamoja na shido zao ila ni rafiki wa kweli...kingine nikuulize kitu gani ambacho unataka uwekeze sana ili ukiangukia pua uone hujasaidiwa...ninachojua life hakuna fairness hakuna huruma ..so ishi nao tu ila kamwe usimkopeshe rafiki hela kubwa mimi nishajua marafiki zangu ni wa kunywa nao pombe na kifanya nao kazi ..basi...so siwekezi hela kwao labda time tu
Kuna usemi, ndege wafananao huruka pamoja, sijaona wakufanana naoKama wewe sio rafiki wa kweli sahau kumpata rafiki wa kweli, inaanza nawewe.
Itakuwa una kaunafiki fulani ivi ameizingiiKuna usemi, ndege wafananao huruka pamoja, sijaona wakufanana nao
Tatizo ni sifa zinakuwa hazipo, kwa hiyo unakuwa nao kwa kampani tu.Wewe ni rafiki yako?
Tatizo watu hawataki kuambiwa ukweli, rejea kwenye mada kuhusu videoItakuwa una kaunafiki fulani ivi ameizingii
Na wengi huwa tunakosea tukiamini marafiki tunawapata mahali tulipo; si kweli, rafiki anatafutwa kama unavyotafuta mchumbaHata wewe sio rafiki wa kweli kwa rafiki yako ...
Utapata rafiki kutokana na nafasi uliyopo..
Hilo nimelielewa ila kama wewe sio rafiki mzuri huwezi kupata rafiki mzuri.Tatizo watu hawataki kuambiwa ukweli, rejea kwenye mada kuhusu video
Ndio maana nasema, jitihada za kutafuta rafiki wa kweli ni zaidi ya unavyotafuta mchumba, zaidi ya hapo utapata marafiki wa kubadilishana nao mawazo tu hasa ya starehe.Hilo nimelielewa ila kama wewe sio rafiki mzuri huwezi kupata rafiki mzuri.
Mbona unazunguka sana sema utapata marafiki wa kulewa nao.Ndio maana nasema, jitihada za kutafuta rafiki wa kweli ni zaidi ya unavyotafuta mchumba, zaidi ya hapo utapata marafiki wa kubadilishana nao mawazo tu hasa ya starehe.
Katika wengi niliokutana nawo,naweza kusema mimi ndiyo nilikuwa mkweli kwao,lakini jinsi wanavyokaa na kuigiza,kufuatilia maisha yako nk...nilichoka kuwaweka karibu hawo wadudu.kuna wengine wao kila siku wanaomba msaada wa hela,na kazi wanafanya ila ela zao wanapeleka wapi. Binafsi siwezi kumuita mtu rafiki kwa sababu hakuna rafiki mzuri zaidi ya yule ninaemuona kwa kioo.
Huu ni mtihani mzito sanaHuyo rafiki wa kweli muambie umegundulika figo yako sio nzuri, unaomba a-donate yake usogeze maisha!
Nadhani hata wake zetu watafeli mitihani huu! π π
Wale sio marafiki, bali wanywaji wenzanguMbona unazunguka sana sema utapata marafiki wa kulewa nao.