Huna kesi

P I M

Senior Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
139
Reaction score
24
HAPA KAZI IPO:
Jaji: Nakuhukumu kwa
kukutwa na mitambo ya
kutengenezea gongo.
MTUHUMIWA: Lakn ni
mitambo tu siyo gongo
mheshimiwa!
JAJI: Hicho ni kidhibiti
tosha kabisa!.
MTUHUMIWA: Basi
nihukumiwe pia kwa kosa
la kubaka.
JAJI: Kumbe ulibaka pia!!?
MTUHUMIWA: Hapana,
cjabaka ila hapa ninacho
kifaa cha kubakia.
JAJI: kipo wapi ?
MTUHUMIWA: hiki hapa.
Jamaa kafungua zipu na
kumuonyesha hakimu.
JAJI: UKO HURU.
 

hahahahahahahaha baadi ya hapo nafungua mashtaka ya kudhalilishwa kuwa mimi ni mtengeneza gongo wakati siyo.
 

Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…