Najua wengi mtakasirika lakini potelea mbali.
Unakuta jitu zima halina shughuli yoyote ya kujiingizia kipato, nguvu linazo lakini linang'ang'ania kukaa kwenye mji wa pesa kama Dar bila kuona aibu matokeo yake ni kujiingiza katika vitendo vya kiuhalifu.
Kazi kuamka asubuhi na kutunisha makalio na makende wakati fursa za kilimo na mapori tele nje ya Dar.
Mijitu kula shida, kulala shida na bado mnajilundika mijini kwa kutegemea ujambazi, uporaji, umalaya na uuzaji wa gongo.
We kazi huna alafu unapenda maisha ya starehe ndio maana wengi wenu mnatumbukia kwenye uhalifu kwa sababu hamuwezi fikiria.
Mnaishi maisha ya dhiki, maisha chini ya robo dola lakini hamjitambui maana mmefunga akili zenu katika mitungi ya ulumbukeni.
Kwa kuendekeza uzinzi, ulevi, uvivu, starehe na anasa na kutopenda kufunguka kiakili, sishangai kama mtu na kizazi chake wote wakawa vibaka/malaya tangu mtoto mpaka babu/bibi.
Yaani jitu linaishi mjini kwa kutunisha makende/makalio? Huu ni upumbavu wa hali ya juu.
Nawashauri tokeni Dar mrudi mikoani mkalime na kuzalisha mazao muondokane na umasikini na laana mnazopata mkiwa Dar bila sababu. Kwani maisha ni Dar tu? Nani kawarioga nyie?
RC Makonda nadhani ile ahadi yako ya kuwakamata na kuwaswaga majitu ya namna hii umewadia.