nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,479
- 8,146
Kwa matatizo hayo ndipo tutakapopata uwezo halisi wa mwanadamu kufikiri. Kumbuka kuwa sisi tunaishi kusurvive na sio kuzifurahisha nafsi zetu. Huyu ambaye yupo dar hana kazi leo, miaka mitano ndiye atakayekuja kijijini kwenu kuangusha mjengo wa maana ambao mtakua mkipita hapo mnaushangaa.Unaaamka asubuhi huna na hujui cha kufanya,hujui utalala, kula wapi na nini, mvua ikinyesha, jua liliwaka we upo mjini tu unashinda na kulala njaa huna pa kuanzia! Na bado umekariri eti ni afadhali kuishi maisha hayo. Huwezi kuwa sawa kichwani. Unakariri kwamba maisha yapo Dar! Matokeo yake udhalilishwe mwili na wenye pesa ili uweze kuishi
Kama hujui ni kwamba akili ni bora kuliko mali. Tafakar hii kauli yangu