Huna jipya.

Huna jipya.

story haijakamilika,,,,,,,,,,

halafu nina wasiwasi sana na experience yako...........
 
Tangu niingie huu ulimwengu,sijawahi kuumia na kukosa raha na amani tangu mpenzi wangu aniambie neno hili"HUNA JIPYA".For sure nimejiona mdogo kama piriton na nahc kama nimeshachuja.SITAKAA NIPENDE WALA KUWAZA MAPENZI TENA.

hili tatizo la mapenzi kwa kweli nitahakikisha linaingia katika katiba mpya ndio this is too much,ukilala oooh nimeachwa,ukiamka oooh nimeacha,oooh nakunywa sumu aaah sikubali hili lazima liingie kwenye katiba mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom