Huna huo ujasiri

Kubwa la Maadui

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
7,915
Reaction score
15,652
Wanaocheza efootball wanasifa hizi

1. Wanaishi kwenye nyumba za ukoo
2. Wanaishi kwa kutegemea boom
3. Wanaishi kwa hisani ya aviator
4. Wanaishi kwa shemeji zao
5. Hawana akiba hata ya afu 10 ndani, bank au kwenye simu
6. Kubet ndo chanzo kikuu cha mapato


Katika hayo mambo 6 kila mchezo efootball anamilik at least 3

Winga hawezi kua mcheza efootball hawa watu wanajitambua sana kwanza huo muda anatoa wapi.

Kazi njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…