humu ndani kuna pesa zangu

humu ndani kuna pesa zangu

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,574
kuna jamaa mmoja kila siku anapita na gari yaje bank usiku then anapiga honi mlinzi akitoka jamaa anaondoka
baada ya kupita muda yule mlinzi akakasirika maana jamaa anamsumbua.. siku moja akamuwekea mtego mpaka
akamkamata.
mlinzi: kwa nini kila siku unapita hapa unanipigia honi lakini nikitoka unaondoka

jamaa: huku bank nimeweka pesa zangu kwa hiyo nakuja kuangalia kama umelala sizije zikaibiwa
 
huyo jamaa atakuwa mchagaa hihihihihihi
 
By danford
kuna jamaa mmoja kila siku anapita na gari yaje bank usiku then anapiga honi mlinzi akitoka jamaa anaondoka
baada ya kupita muda yule mlinzi akakasirika maana jamaa anamsumbua.. siku moja akamuwekea mtego mpaka
akamkamata.
mlinzi: kwa nini kila siku unapita hapa unanipigia honi lakini nikitoka unaondoka

jamaa: huku bank nimeweka pesa zangu kwa hiyo nakuja kuangalia kama umelala sizije zikaibiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom