ndo yanatengenezwaje mkuu kwasabab naona wanajuana wao tu... wew sanasan wataangalia post yako tu wanapit hivi

Sidhan kama atawezaHahaha angalia lakini asije akakupeleka kwengine
Yesu na MariaLove you babe![]()
Jidai hata mjomba wake daby mkuundo yanatengenezwaje mkuu kwasabab naona wanajuana wao tu... wew sanasan wataangalia post yako tu wanapit hivi

NdioooKwan bado wapo couple??
ndo ivoo yan
Hahahaaisee ujue sijakuzoea hivi![]()
MhLove you babe![]()
Mkuu Daby sisi tuko kwenye voicenote, au hujui habari ya mjini kwasasa baada ya kupima oil na makinikia ni voice note!!
Sasa mtu usije ukasema mbona sijatajwa. Mimi sio kompyuta mpakato nihifadhi majina yote

Pungusa wivuuuuNakuonaa nakuonaaa
Ungejua hasira nilizonazo juu yako najikaza tu apaNilijua leo utaninunia kwa kutokukutaja. Haha.
Za kwako lkn
Umemuona kama sio mwanaume banaUna lako jambo
Ooohhooo!!! Swadakta mkuu kunani watu wapo kimya kiaina au sunday watu wamejikwatilia couple couple uko cm zimezimwa kabisaaa



