Humu ndani kumepoa sana

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,647
75,837
Hili jukwaa vipi? Au hali inakaba hakuna bundle? Siku hizi nikichungulia Nalog-off haraka ila nyuma nilikuwa nasahau hadi kazi za mkoloni. Kiufupi uchovu wa kazi nilikuwa nautolea hapa.

Juzi watu8 alisema akiingia JF anakutana na ID asizozijua anaamua kulog-off. Let's make chit-chat great and charmist again. Member wapya njooni muongeze marafiki, wa zamani tuliendeleze.
 
Back
Top Bottom