Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Asantesababu napenda utulie sehemu moja
Nakupenda mdogo wangu
Asantesababu napenda utulie sehemu moja
Kwani umeshaamua kurudi kazini si uliacha kwa baruaNi nani? Sasa usitake kuniambia ati unamlinzi mpya![]()
aiseehHuyo mwenyeji anamambo zake ni hatari
Hapo chachaEeeh! Dada..
Sio mondray tena?
DaaaaaaaNakutaka wewe, uniguse mgongoni
Afu weweKho Kho Kho

Cc.nyageiMlinzi gani sharobaro hivyo
Mlinzi wa Sakayo ni Nyagei
Unaenda wapiSikutajwa ngoja nipite,..
Una lako jamboHku ngoja nipite tu.. hii thred ni ya wenyew, mtoa mada alishawataja.
Ni kweli inabidi upambane ukiwa kijana....jamn me mwenyew nmem miss simuon kabisaaMiss you too...
Nimegundua umri ukisonga majukumu yanakuwa mengi jirani. Mdogo wangu umemficha wapi
Upendo una evidence mkuu ?Bila evidence![]()
evidence ipiiii unayotaka wewe mbona umeng'ang'ana na mapenzi ya watuBila evidence![]()
Alikuwa anasemaje na evert naye hanaga dogo yulekaribu sana ila si ulikua unatuponda imekuaje leo