Thread Starter
JF-Expert Member
- Mar 16, 2017
- 1,394
- 1,070
ndo yanatengenezwaje mkuu kwasabab naona wanajuana wao tu... wew sanasan wataangalia post yako tu wanapit hiviTengeneza mazingira ya kujuana mkuu
ndo yanatengenezwaje mkuu kwasabab naona wanajuana wao tu... wew sanasan wataangalia post yako tu wanapit hiviTengeneza mazingira ya kujuana mkuu
Tupo lipo wazi mamy kupokea chochote kutoka kwako....
Karangiza hadi majirani wachungulie dirishani
Kila jukwaaEeeh! Dada..
Sio mondray tena?
Mh kupotea wapi tenaHasa Shunie
Alipotea ghafla
Kwan bado wapo couple??Usome toka mwanzo uelewe usidandie gari kwa mbele
AsanteMlinzi gani sharobaro hivyo
Mlinzi wa Sakayo ni Nyagei
UtatambaaMiguu tena? Halafu nitembeeje. Nyie sio watu wazuri
Inaonekana mama klaree kakubana sana mana hata kuja kusalimia michepuko yako ya humu imekua shidaSijauona inaonekana siku hizi napitwa na mengi.
Usome toka mwanzo uelewe usidandie gari kwa mbele
lakini alisema ameskip
hayaa furahia sasa na nafsi yakoKashamtaja mbona![]()
Lee apitie Dompo baadaye![]()
na unishkuru mimi ninavyokua mkali kukutetea
Kapotea siku nyingii ujueTatizo hatupati notification
Jitahidi uwataje wote bana hebu rudiaa,,,halaf iceman 3D mbona simuoni