Humu ndani hutakosa gumbo la Kongo

Bila shaka huyo mwandan wako umemkagua na ukathibitisha kuwa analo vumbi hilo.
Huwezi jua kama yeye ndo anauza au anatumia.
 
Kwn kutumia vumbi la Congo ni kosa? Au nyie ndo wale mnaoamini kila tajiri ni fisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…